Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
CCM bila vyombo vya Dola ni sawa na TLP tu
Tangu magufuli kaingia madarakani kalisahau kundi kubwa la vijana hasa kwenye suala la ajira
CCM chini ya Magufuli imetumia mabilioni ya watz kununua ndege ambazo ni hasara tupu kwa taifa ,ameshindwa kuajiri vijana wakaongeza pato la taifa
Mbaya zaidi CCM chini ya magufuli imeshindwa kutoa hata mikopo kwa vijana wajiajri imewaacha wakitanga tanga,hali ya maisha kwa vijana wengi wa Tanzania imekua ngumu vijana wamegeuka wazee wanatia huruma
Sasa huu mwaka sio wa kufanya makosa tuitoe CCM madarakani kwa kura nyingi,chama kimechoka hiki ,tangu uhuru hadi Leo taifa linanuka dhiki na umaskini
Tusifanye makosa Oktoba 28
CCM wekeni uwanja huru msitegemee polisi kuiba kura na kukimbia na mabox ya kura.