Kila wakati nikienda Tanzania kuna vijana waliomaliza shule wananiuliza wafanya nini ambacho ni future. Jibu langu kama unataka urahisi na kuweza kufanya kazi sehemu yeyote duniani jifunze computer coding.
Miaka ijayo ubunifu mwingi utatokana na computer na ukiweza kujifunza lugha ya computer itakuwa rahisi kubuni kitu kipya. Ni kama hesabu tulianza na table za kujumlisha na kutoa sasa vijana computer inatakiwa kuwa somo kama lugha nyingine yeyote.
Je vitu gani vya kusoma vingine ambavyo vitakuwa vina soko sana
1. Database software SAP, Oracle
2. Project Management
3. Engineering: (a) Petroleum Engineering (b) Chemical Engineering
4. Geology
5. Finance
6. Computer science lakini ukimaliza hii ni lazima usome zaidi kwenye software ku specialize
Vilevile jinsi ya kufanya presentation na kujua Advance Excel