Vijana jifunzeni computer coding

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Kila wakati nikienda Tanzania kuna vijana waliomaliza shule wananiuliza wafanya nini ambacho ni future. Jibu langu kama unataka urahisi na kuweza kufanya kazi sehemu yeyote duniani jifunze computer coding.

Miaka ijayo ubunifu mwingi utatokana na computer na ukiweza kujifunza lugha ya computer itakuwa rahisi kubuni kitu kipya. Ni kama hesabu tulianza na table za kujumlisha na kutoa sasa vijana computer inatakiwa kuwa somo kama lugha nyingine yeyote.

Je vitu gani vya kusoma vingine ambavyo vitakuwa vina soko sana

1. Database software SAP, Oracle
2. Project Management
3. Engineering: (a) Petroleum Engineering (b) Chemical Engineering
4. Geology
5. Finance
6. Computer science lakini ukimaliza hii ni lazima usome zaidi kwenye software ku specialize

Vilevile jinsi ya kufanya presentation na kujua Advance Excel
 
Tatizo vijana wengi tz wanakimbia masomo ya sayansi na hesabu....na uliyoyaorodhesha hapo, ni sayansi na hesabu
 

Unaongea kutokana na expirience au kuna research uliifanya....or just provoking?
 
Mimi nimekaa hapa US kwenye kampuni tofauti kwa miaka zaidi ya 10 sasa na ninajua trend ilivyo ya dunia. Ninajua mambo ya IT, Healthcare, Finance, Oil and Gas trust me. Nimesha deal na Ku manage project za zaidi ya $2B kwenye madawa na nimeajiri IT project managers over the years.
 

Kama upo USA kwa kpnd hcho hebu niambie about cost engineer or quantity surveyor....kwa hapo USA wanasoko
 

kwa sisi ambao tulikimbia sayansi kuna fani ambayo tunaweza kusoma hapo labda kuanzia certificate na kuendelea?
 
Kama upo USA kwa kpnd hcho hebu niambie about cost engineer or quantity surveyor....kwa hapo USA wanasoko

Engineering nyingi zinalipa lakini unatakiwa kujua software gani ambayo wanaitumia kwenye kazi unayotaka kufanya. Kuhusu Surveyor huku hazilipi kwasababu technology tayari imechukua information yote na sijui Surveyor ata survey nini ambacho hakijulikani. Hii ni kwa nchi zinazoendelea huku haitakulipa.
 
vipi kuhusu petroleum geoscience....
 
vipi kuhusu petroleum geoscience....

petroleum geoscience hipo poa lakini lazima ujifunze computer language ambayo inaitwa c++ ambayo inakusaidia offshore kwenye productions as petroleum drilling engineer
 
petroleum geoscience hipo poa lakini lazima ujifunze computer language ambayo inaitwa c ambayo inakusaidia offshore kwenye productions as petroleum drilling engineer
shukran sana ndugu,computer languages hususan c++ sio ngeni sana kwangu ...
 

Quantity surveyor=cost engineer.... its about construction of buildings,roads,bridges,structures......na sio kupima viwanja kama unavyodhan anayepima viwanja anaitwa land surveyor
 
mkuu#kamundu umenena na umeongea ukweli asilimia 100 dunia ya leo ni teknolojia nipo najiandaa na certification ya oracle
 
na ni wapi kwa tanzania unaweza kujifunza lugha za computer: c and c++ na nyinginezo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…