Pre GE2025 Vijana Kagera wahamasishwa kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025

Pre GE2025 Vijana Kagera wahamasishwa kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Baraza la Vijana la Chama cha Mapinduzi CCM Mkoani Kagera limewataka Vijana mkoani humo kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba Mwaka huu 2025.

Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kauli hiyo imetolewa na mwenyekiti wa jumuiya ya Vijana wa CCM Mkoa wa Kagera Bw. Faris Buruhani wakakti akihitimisha mkutano wa baraza la vijana wa chama hicho uliofanyika wilayani Ngara mkoani Kagera.

2015 kushuka chini chini tulikua hatuhamasishani hivi. Kipindi hiki nguvu kubwa lazima itumike kuwaaminisha vijana kura yako inaweza kuchagua kiongozi unayemtaka.
 
2015 kushuka chini chini tulikua hatuhamasishani hivi. Kipindi hiki nguvu kubwa lazima itumike kuwaaminisha vijana kura yako inaweza kuchagua kiongozi unayemtaka.
Unadhani ni kwanini nguvu kubwa yatumika kipindi hiki??
 
Back
Top Bottom