Baraza la Vijana la Chama cha Mapinduzi CCM Mkoani Kagera limewataka Vijana mkoani humo kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba Mwaka huu 2025.
Kauli hiyo imetolewa na mwenyekiti wa jumuiya ya Vijana wa CCM Mkoa wa Kagera Bw. Faris Buruhani wakakti akihitimisha mkutano wa baraza la vijana wa chama hicho uliofanyika wilayani Ngara mkoani Kagera.
2015 kushuka chini chini tulikua hatuhamasishani hivi. Kipindi hiki nguvu kubwa lazima itumike kuwaaminisha vijana kura yako inaweza kuchagua kiongozi unayemtaka.
2015 kushuka chini chini tulikua hatuhamasishani hivi. Kipindi hiki nguvu kubwa lazima itumike kuwaaminisha vijana kura yako inaweza kuchagua kiongozi unayemtaka.