upupu255 Senior Member Joined Sep 4, 2024 Posts 119 Reaction score 144 Mar 2, 2025 #1 Zaidi ya watu 140,000 wanatarajiwa Kuandikishwa katika Daftari la kudumu la Mpiga kura Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka mara baada ya kufanya ukaguzi kwenye baadhi ya vituo hivyo Jimbo la Kilosa na Mikumi, amesema zoezi hilo linaendelea vizuri. Your browser is not able to display this video.
Zaidi ya watu 140,000 wanatarajiwa Kuandikishwa katika Daftari la kudumu la Mpiga kura Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka mara baada ya kufanya ukaguzi kwenye baadhi ya vituo hivyo Jimbo la Kilosa na Mikumi, amesema zoezi hilo linaendelea vizuri. Your browser is not able to display this video.