ChingaMzalendo
Senior Member
- Nov 9, 2008
- 192
- 3
Kila siku tunasikia Jina la Zitto Kabwe kuwa ndiye mkombozi wa Tanzania. Wengine Wanasema Zitto Keshanunuliwa, hana kazi tena. Tunaomba Majina ya vijana kumi wenye uwezo wa kuliokoa Taifa ikiwa wanaweza kushirikiana. Najua Mwanakijiji atakuwemo, tunaomba majina kamili ya wale wanaofahamika, na ambao wameonyesha uwezo wa kuweza kudiriki na kuongoza taifa kutoka mikononi mwa mafisadi wanaoongozwa na kikwete
Vipi mkuu, wamekutuma? Ni wa kuunda cabinet ya 2010 au?
Ni vijiswali tu.
................Dawa ya Mafisadi ni kuingiaporini, mie nipo tayari kusajiliwa ikiwa kuanzisha jeshi ndio dawa ya kumaliza matatizo yanayotukabili,..........
Nd. ChingaMzalendo,
Nami ni wapili katika usajili wa hilo jeshi. Nishajitolea muhanga kulala porini ili tupate kuyamaliza haya matatizo yanayotukabili.
Wandugu ChingaMzalendo na Ngida1,
Mimi pia nipo tayari kujiunga na hilo jeshi na kila anaetaka kutuunga mkono basi aorodheshe jina lake hapa chini:
[1] Nd. ChingaMzalendo,
[2] Nd. Ngida Wa Ngida (Ngida1),
[3] Nd. Lampart,
[4] .............
[5] .............
.
.
.
.
.
.
Tukisha kutimia watu 10, basi tutahamia kwenye pori lolote lile la Bara au tutahamia Jozani kule Visiwani walipokuwa wakijificha wapiganaji wa Mapinduzi ya Zanzibar kabla ya Mapinduzi ya 1964.
N.B.
Nd. Bluray, tafadhali usituite kuwa sisi ni wasaliti.
Sisi ni wagombozi!!!
Before u win a war, kila mgombozi ni msaliti.
Ni wapi panapohitaji vijana kumi tu?
Wapo wazee pia, tena wenye uwezo -umeliangalia hili?😀
vijana wenyewe hawa wa kizazi hiki, vijana hawa wanaoshinda disco badala ya maktaba, vijana hawa wa kizazi cha kupenda anasa na vya bure, sioni miongoni mwao wanaofikia kumi.mada yenu nzuri sana lakini mbona mnajitaja nyie hatuwafahamu hatufahamu uzalendo wenu ,ni yepi mmefanya na je mna uchungu na nchi hii or ?
hahaha sasa tunahitaji awamu ya vijana
tatizo ni hilo nililo hi-lightVijana wamekwepo siku zote...ukumbuke tumekumbwa na janga la ukimwi na ufisadi mamboleo😀, vijana wengi sasa kila mtu na lwake-shifting towards the realm of individualism.
Vita vya kujipatia uhuru wazee wamefanya, vita vya uhuru wa uchumi ndio tunayo-vijana😉 lakini tunafanya bila conciousness, tunafanya bila kuangalia vita nyingine ya jamii
Kuna mengi, huu ni mpito! Vigelegele basi! Tutafika
NGUVUMALI WAPO VIJANA MAKINI NA WAADILIFU, ZILE NAFASI KUMI ANAZOPEWA RAIS WA JAMUHURI HAKUPASWA KUZITUMIA KUWAPA ZAWADI KINA KINGUNGE NA MAKAMBA, ANGETUMIA VIZURI BAADHI YA TAASISI ZAKE KWELI ANGEWAIBUA VIJANA MAKINI NA WAADILIFU AMBAO WANGELISAIDIA TAIFA KUSONGA MBELE, SASA YEYE KAWAPA VYEO KINA KINGUNGE NA YULE DADA MLEMAVU WA NGOZI, NZFASI ZIMEPOTEA BURE TU, no output.tatizo ni hilo nililo hi-light
wafuatao ni vijana ninao wajua wenye uwezo wakuiongoza Tanzania kwa mafanikio makubwa kisiasa na kiuchumi.
1...Nelson Kaminyoge....yuko Mambo ya Ndani
2...Shikunzi John, anajitegemea kikazi.
3...Samson Mwasakafyuka...huyu yuko Wizara ya Maliasili na Utalii
5...Lenjore Lekamoi.......yupo KPMG
6...Joshua Mtae...Mchumi huyu yupo Akiba Com. bsnk
7...Gwamaka Nsekela...yuko London
8...Bahati Tweve...yuko NCCR Mageuzi
9...Zito Kabwe ...CHADEMA
10..Mjasiriamali Shupavu...yumo humu JF
hizo habari mpya, sasa kama JK, NA system yake ingekua active ingewaibua hawa jamaa , kisha anawapa ubunge halafu uwaziri, nitashangaa kama Shikunzi John Msanganzila atakufa bila kuiongoza hii nnchi.Hawo niliowapaka rangi hiyo kweli ni wapiganaji wakufa mtu na juzijuzi tu Kiongozi Shikunzi ametoka kufunga pingu za maisha
hivyo vichwa vitatu juu, vyenye blue, nahakika ni moja ya raslimali katika taifa hili....lakini Libaba PM si wewe yule Historian, haya bwana, kama ni wewe unakumbukumbu sana salam zao kibaha.wafuatao ni vijana ninao wajua wenye uwezo wakuiongoza Tanzania kwa mafanikio makubwa kisiasa na kiuchumi.
1...Nelson Kaminyoge....yuko Mambo ya Ndani
2...Shikunzi John, anajitegemea kikazi.
3...Samson Mwasakafyuka...huyu yuko Wizara ya Maliasili na Utalii
5...Lenjore Lekamoi.......yupo KPMG
6...Joshua Mtae...Mchumi huyu yupo Akiba Com. bsnk
7...Gwamaka Nsekela...yuko London
8...Bahati Tweve...yuko NCCR Mageuzi
9...Zito Kabwe ...CHADEMA
10..Mjasiriamali Shupavu...yumo humu JF