misamiati tu, kubaka , kunajisi na kulawiti sio matusi kwenye muktadha huu, ila lengo ni moja, kuudhika na matendo ya Masha na IMMA. Kama hatuwawezi kuwapiga na kuwang'oa madarakani simuwazomee na kuwatukana tu. labda watajua hasira zetu, maana Watanzania wengi mmesusa kupiga kura, na ccm wanahasishana kwelikweli mawazo yako kina masha na wenzake tutawang'oa kirahisi....aaah acha niendelee kulia Componero.Labda ungesema ameibaka (rape/plunder) nchi angeelewa...
Tafadhali tuko wengi tunafaa
Kila siku tunasikia Jina la Zitto Kabwe kuwa ndiye mkombozi wa Tanzania. Wengine Wanasema Zitto Keshanunuliwa, hana kazi tena. Tunaomba Majina ya vijana kumi wenye uwezo wa kuliokoa Taifa ikiwa wanaweza kushirikiana. Najua Mwanakijiji atakuwemo, tunaomba majina kamili ya wale wanaofahamika, na ambao wameonyesha uwezo wa kuweza kudiriki na kuongoza taifa kutoka mikononi mwa mafisadi wanaoongozwa na kikwete
Napendekeza
1. John Mashaka
2. January Makamba
3. Hildebrand Shayo
4. Mwanakijiji
5. John Mnyika
7. Zitto Kabwe
8. Mohammed Dewji
9. Nelson Kaminyoge
10..........
10.........(Kinjekitile Ngombare Mwiru - A.K.A Kinje)Kila siku tunasikia Jina la Zitto Kabwe kuwa ndiye mkombozi wa Tanzania. Wengine Wanasema Zitto Keshanunuliwa, hana kazi tena. Tunaomba Majina ya vijana kumi wenye uwezo wa kuliokoa Taifa ikiwa wanaweza kushirikiana. Najua Mwanakijiji atakuwemo, tunaomba majina kamili ya wale wanaofahamika, na ambao wameonyesha uwezo wa kuweza kudiriki na kuongoza taifa kutoka mikononi mwa mafisadi wanaoongozwa na kikwete
Napendekeza
1. John Mashaka
2. January Makamba
3. Hildebrand Shayo
4. Mwanakijiji
5. John Mnyika
7. Zitto Kabwe
8. Mohammed Dewji
9. Nelson Kaminyoge
10..........
Duu,kweli kwenye msafara wa vipepeo na funza pia wamo,humu naona kuna vifisadi pia umeviorodhesha,upo serious au are you dreamin?Kila siku tunasikia Jina la Zitto Kabwe kuwa ndiye mkombozi wa Tanzania. Wengine Wanasema Zitto Keshanunuliwa, hana kazi tena. Tunaomba Majina ya vijana kumi wenye uwezo wa kuliokoa Taifa ikiwa wanaweza kushirikiana. Najua Mwanakijiji atakuwemo, tunaomba majina kamili ya wale wanaofahamika, na ambao wameonyesha uwezo wa kuweza kudiriki na kuongoza taifa kutoka mikononi mwa mafisadi wanaoongozwa na kikwete
Napendekeza
1. John Mashaka
2. January Makamba
3. Hildebrand Shayo
4. Mwanakijiji
5. John Mnyika
7. Zitto Kabwe
8. Mohammed Dewji
9. Nelson Kaminyoge
10..........
Wewe wacha kudharau kazi za wenzako, Nelly sio mbeba begi wa Waziri, ni Mratibu wa kazi za WAZIRI, Ni swala la Wakati tu, utawala wa nnchi hii utakua mikononi mwao, sema Mwasakafyuka Samson , Na Shikunzi John Msanganzila hawatabiriki hata kidogo, watata hawa, ila Lenjo angeweza kazi ila hapendi siasa huyu mtoto....Mwambieni kwanza huyo NELSON KAMINYOGE aache kubeba mifuko ya waziri
Wewe wacha kudharau kazi za wenzako, Nelly sio mbeba begi wa Waziri, ni Mratibu wa kazi za WAZIRI, Ni swala la Wakati tu, utawala wa nnchi hii utakua mikononi mwao, sema Mwasakafyuka Samson , Na Shikunzi John Msanganzila hawatabiriki hata kidogo, watata hawa, ila Lenjo angeweza kazi ila hapendi siasa huyu mtoto....
Kila siku tunasikia Jina la Zitto Kabwe kuwa ndiye mkombozi wa Tanzania. Wengine Wanasema Zitto Keshanunuliwa, hana kazi tena. Tunaomba Majina ya vijana kumi wenye uwezo wa kuliokoa Taifa ikiwa wanaweza kushirikiana. Najua Mwanakijiji atakuwemo, tunaomba majina kamili ya wale wanaofahamika, na ambao wameonyesha uwezo wa kuweza kudiriki na kuongoza taifa kutoka mikononi mwa mafisadi wanaoongozwa na kikwete
Napendekeza
1. John Mashaka
2. January Makamba
3. Hildebrand Shayo
4. Mwanakijiji
5. John Mnyika
7. Dr. Alhamis (mhadhiri Chuo kikuu Marekani) siyo kijana lakini Mahiri sana
8.**********
9.**********
10.*********
Samahani sana, lakini Zitto kabwe, Mohammed Dewji na Nelson wasingewekwa kwenye hii list ya watu mahiri. Nelson ni mbeba begi wa Masha, Zitto kabwe ameshanununuliwa atakuja kuwa kachero tu. Dewji pia ni kafisadi kweli, kwa hiyo hao watatu waondolewe
Nadhani itakuwa vyema hii listi ikiendelea kwa muda, na tukipata watu 100 badal aya 10, tutakuwa pazuri sana.Vipi chalahali ambaye nadhani anaishi UK?
Mi naona NAPE MOSES NAUJE ndo kijana aliyebaki!!!
Mimi pia niko teyari kwani tumechoshwa na nchi hii kwani viongozi walio wengi ni uongo mtupu nduguzanguni bila kuweka mikakati yakuaminika hatuchomoki.
Tunaweza kuamua kuanza kampeni ya nyumba hadi nyumba nazani wananchi wanaopewa tisheti na kanga watatuelewa napia kuhakikisha tunasimamia upigaji wakula mpaka matokeo yanapo tangazwa, tukiwa kweli tunania nauhakika tunawang'oa mafisadi na masalia yao yote. Usidanganyike kama mtoto wa fisadi lazima atakuja kuwa fisadi tu kaeni macho msidanganyike na maneno yawatoto wao.
Nawakilisha mimi mzalendo nipo teyali kuwa na uraia wanchi yenye haki nakupigana kwajili ya nchi yangu ya asili mpaka kufa.
......... napia kuhakikisha tunasimamia upigaji wakula mpaka .........