Vijana kutafuta Six packs kujichosha tu,tafuteni pesa kwanza!

Vijana kutafuta Six packs kujichosha tu,tafuteni pesa kwanza!

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,518
Reaction score
13,144
Six packs kujichosha tu vijana mmeskia? tafuteni Pesa kwanza! Tengeneza six packs kwa Afya yako na sio kuwavutia Warembo. Warembo wa skuizi Majipu wanapenda watu wazima wenyewe wanawaita SPONSOR. Yaani ukiona wako nae unaweza hisi ni Mtu na Baba/Mjukuu wake. Chekshia broo Sponsor katika ubora wake![emoji108]..
1470038087936.jpg
[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Six packs kujichosha tu vijana mmeskia? tafuteni Pesa kwanza! Tengeneza six packs kwa Afya yako na sio kuwavutia Warembo. Warembo wa skuizi Majipu wanapenda watu wazima wenyewe wanawaita SPONSOR. Yaani ukiona wako nae unaweza hisi ni Mtu na Baba/Mjukuu wake. Chekshia broo Sponsor katika ubora wake![emoji108]..View attachment 374317 [emoji125][emoji125][emoji125]
Maskini mbaba wa watu anaibiwa
 
Back
Top Bottom