Six packs kujichosha tu vijana mmeskia? tafuteni Pesa kwanza! Tengeneza six packs kwa Afya yako na sio kuwavutia Warembo. Warembo wa skuizi Majipu wanapenda watu wazima wenyewe wanawaita SPONSOR. Yaani ukiona wako nae unaweza hisi ni Mtu na Baba/Mjukuu wake. Chekshia broo Sponsor katika ubora wake![emoji108]..
View attachment 374317 [emoji125][emoji125][emoji125]