wewe kama unayo endelea kuitunza mpaka uolewe/uoe kama huna pia usijutie kivileee coz kila kitu kina sababu yake
Nenda tanga ukapate tiba, kule hakuna kinachoshindikana!
Habari wana JF
Tusaidiane mawazo hapa,hivi kuna umuhimu wa VIJANA(wakike na wakiume) kutunza UJANA WAO (Bikra)mpaka wakati wa ndoa?
Kama ndivyo,tufanye nini kurudi huko?Kama hakuna umuhimu,faida za hapa tulipofikiani zipi?(tumeshuhudia siku hizi wengi wanaoana si tu wameshaharibu ujana wao,bali wamebebeshana na mimba tayari)
Naomba mchango wenu tafadhali