idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Weekend njema wadau wa JF.
Mara nyingi nimekua nikiona vijana wenye rasta wakijihusisha na urembo kwa Wanawake.
Kusuka nywele, kupaka hina, kupaka rangi kucha, kusugua Miguu na mikono, kutinda nyusi na urembo mwingineo.
Mara nyingi wahusika ni vijana wa kiume hasa wenye rasta.
Sasa nimekua nikijiuliza kunauhusiano gani wao na urembo kwa Wanawake.
Au ukishakua Rasta unakua na hisia za urembo urembo.?