Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kila mtu ana ndoto ya kuboresha maisha yake. Kama umezaliwa na afya njema na unapenda kufanya mazoezi jifundishe kukimbia.
Uzuri wa siku hizi smartphones unaweza kuitumia kwa vitu vingi sana. Unaweza ku download app ya kukufundisha kukimbia marathon.
Ukijiona unaweza hata nusu marathon tafuta mashindano ujisajili, yawe South Africa, Kenya au nchi nyingine. Ukishaonekana kwenye mashindano mawili matatu utaanza kupokea mialiko na hata hela ya maandalizi.
Wakimbiaji wa Kenya wengi wameshaagana na umasikini.