Vijana.comVijana wanashinda vijiweni
Mdada njia Bora ya kutoboa now...ni kutunga nyimbo ya kumsifia jiwe na serikali yake, sifu kisawasawa then nenda tbc hakika utairecord bure na itapromotiwa vilivyo, utaalikwa ikulu na kwenye matamasha mbalimbali kumuimbia na kumtukuza jiwe,TBC kutakuwa Kama sebuleni maisha utatoboa kirahisi Sana bila changamotoKila mtu ana ndoto ya kuboresha maisha yake. Kama umezaliwa na afya njema na unapenda kufanya mazoezi jifundishe kukimbia.
Uzuri wa siku hizi smartphones unaweza kuitumia kwa vitu vingi sana. Unaweza ku download app ya kukufundisha kukimbia marathon.
Ukijiona unaweza hata nusu marathon tafuta mashindano ujisajili, yawe South Africa, Kenya au nchi nyingine. Ukishaonekana kwenye mashindano mawili matatu utaanza kupokea mialiko na hata hela ya maandalizi.
Wakimbiaji wa Kenya wengi wameshaagana na umasikini.
Hii huwa ni bonge la fursa...ila watanzania bado tumelala...wakenya na waethiopia wanapiga pesa nzuri kupitia hapa...Sasa mtu anakimbia masaa mawili anashinda anakula 400m...Mungu akupe nnn... Cha msingi ni kufanya mazoezi ya Nguvu sio mzahamzaha...Kuliko kung'ang'a nia kazi ya kubeti Bora kuwekeza kwenye hapa.Kila mtu ana ndoto ya kuboresha maisha yake. Kama umezaliwa na afya njema na unapenda kufanya mazoezi jifundishe kukimbia.
Uzuri wa siku hizi smartphones unaweza kuitumia kwa vitu vingi sana. Unaweza ku download app ya kukufundisha kukimbia marathon.
Ukijiona unaweza hata nusu marathon tafuta mashindano ujisajili, yawe South Africa, Kenya au nchi nyingine. Ukishaonekana kwenye mashindano mawili matatu utaanza kupokea mialiko na hata hela ya maandalizi.
Wakimbiaji wa Kenya wengi wameshaagana na umasikini.
Mkipata hizo fursa si mtazalisha ajira kwa vijana wenzenu na ku inspire wengine . Unaweza kukimbia beach kuanzia Aghakhan mpaka UnonioHii huwa ni bonge la fursa...ila watanzania bado tumelala...wakenya na waethiopia wanapiga pesa nzuri kupitia hapa...Sasa mtu anakimbia masaa mawili anashinda anakula 400m...Mungu akupe nnn... Cha msingi ni kufanya mazoezi ya Nguvu sio mzahamzaha...Kuliko kung'ang'a nia kazi ya kubeti Bora kuwekeza kwenye hapa.
Ni suala la mazoezi tu...hakuna kinachoshindikana....Mo falah alikuwa anaenda Kenya kufanya mazoezi ya kupanda milima....Usain bolt alikuwa anafungwa taili kubwa la gari miguuni alafu anakimbia nalo...vijana wa dar nendeni kimara milima kibao...pesa ya riadha iko nje nje... Ni juhudi binafsi tu .tofauti na michezo kama bondia au mpira wa miguu ni migumu kidogoMkipata hizo fursa si mtazalisha ajira kwa vijana wenzenu na ku inspire wengine . Unaweza kukimbia beach kuanzia Aghakhan mpaka Unonio
Kupanda milima na kukimbia kwenye mchanga ni mazoezi mazuri sana. Ukiwekwa kwenye lami utashangaa unavyo waacha wazungu.Ni suala la mazoezi tu...hakuna kinachoshindikana....Mo falah alikuwa anaenda Kenya kufanya mazoezi ya kupanda milima....Usain bolt alikuwa anafungwa taili kubwa la gari miguuni alafu anakimbia nalo...vijana wa dar nendeni kimara milima kibao...pesa ya riadha iko nje nje... Ni juhudi binafsi tu .tofauti na michezo kama bondia au mpira wa miguu ni migumu kidogo
Kweli kabisa! Wazo zuri hili muhimu mazoezi,lishe nzuri na uvumilivu.Kupanda milima na kukimbia kwenye mchanga ni mazoezi mazuri sana. Ukiwekwa kwenye lami utashangaa unavyo waacha wazungu.
Hii huwa ni bonge la fursa...ila watanzania bado tumelala...wakenya na waethiopia wanapiga pesa nzuri kupitia hapa...Sasa mtu anakimbia masaa mawili anashinda anakula 400m...Mungu akupe nnn... Cha msingi ni kufanya mazoezi ya Nguvu sio mzahamzaha...Kuliko kung'ang'a nia kazi ya kubeti Bora kuwekeza kwenye hapa.