Vijana mjiajiri, mtaji sio tatizo

Regent

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2020
Posts
2,306
Reaction score
3,569
Vijana graduate wavivu sana mjiajiri mtaji sio tatizo, muongozo wa kujiajiri kwa graduates wa degree na mtaji wake

1) Ualimu- mtaji chaki tu

2) Uhasibu- mtaji Calculator tu

3) Civil Engineer- mtaji Ruler na Tape tu

3) Lawyer-mtaji suti tu

4) IT- mtaji Laptop tu

5) Geologist- mtaji chepe tu

6) Logisticians- kujua bodaboda tu

7) Agriculturist- Jembe tu

8) Business Administration- mtaji 5000 uza karanga

9) Petroleum- kidebe cha mafuta

10) Phamacist- mtaji panado
 

Watu kama wewe mnatafuta laana kinguvu
 
Taifa limepata hasara sana kukusomesha
 
Na mtaji wako mleta mada ni PUMBA
 
Na mtaji wako mleta mada ni PUMBA
Hata pumba hastahili maana atamuongezea gharama huyo anayemfuga.
Huyu mtaji wako majani ya mwarobaini tu akiwa amefungwa kamba shingoni
 
We jamaa ni bure kabisa unaongea simple simple tu, lait ningekua me ndo corona ningepita na wew kwanza... Et anza na chaki na hivo vingine unatoa wap?
 
Du wewe kiboko!
 
Utakuta huyu pimbi kaajiriwa Halmashaur!..// na Take home anachukua 300k..

Kakopa kanunua bodaboda halafu anasema watu wajiajir!! Who are u!!!!
 
Akili ndogo unafikili kujiajili ni kama kutype hivyo mbwa wewe .
 
Safi sana mh. waziri. Tutafanyia kazi sisi vijana watoto wa wakulima wa bamia, nyanya na vitunguu
 
Sasa mbona namba 3 umezirudia mara 2??ushanitingisha tayar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…