Vijana graduate wavivu sana mjiajiri mtaji sio tatizo, muongozo wa kujiajiri kwa graduates wa degree na mtaji wake
1) Ualimu- mtaji chaki tu
2) Uhasibu- mtaji Calculator tu
3) Civil Engineer- mtaji Ruler na Tape tu
3) Lawyer-mtaji suti tu
4) IT- mtaji Laptop tu
5) Geologist- mtaji chepe tu
6) Logisticians- kujua bodaboda tu
7) Agriculturist- Jembe tu
8) Business Administration- mtaji 5000 uza karanga
9) Petroleum- kidebe cha mafuta
10) Phamacist- mtaji panado
SawaVijana graduate wavivu sana mjiajiri mtaji sio tatizo, muongozo wa kujiajiri kwa graduates wa degree na mtaji wake
1) Ualimu- mtaji chaki tu
2) Uhasibu- mtaji Calculator tu
3) Civil Engineer- mtaji Ruler na Tape tu
3) Lawyer-mtaji suti tu
4) IT- mtaji Laptop tu
5) Geologist- mtaji chepe tu
6) Logisticians- kujua bodaboda tu
7) Agriculturist- Jembe tu
8) Business Administration- mtaji 5000 uza karanga
9) Petroleum- kidebe cha mafuta
10) Phamacist- mtaji panado
Wapi wanawezesha mtaji wa vijana wanaotaka kufanya Biashara?
Wapi unaweza pata usaidizi wa mtaji just kwa kuwasilisha unachotaka kukifanya? Nazungumzia 40,000 mpaka 70,000 maana ndio pesa nayoweza kukopa. Nina mradi wangu unahitaji pesa.www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu wazee Mubarak's kunichoma tuna nakati tumekubaliana huku ChitChat ni jukwaa la matani 😂 😂Mtaji: Nipeni mkono niinue (Biashara ya matunda)
Habari Mosi, mimi ni Graduate niliyehitimu mwaka 2019, ninaishi hapa jijini DSM, Kimsingi sina ajira wala chanzo rasmi cha kipato, nilikuwa naishi kwa Daywalker za kufanya kazi za ku type stationary moja napata Commission 1000-2000 kwasasa Stationary imekufa. Katika kupambana kutafuta ajira...www.jamiiforums.com