MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kafulila amepata cheo gani kinachomexpose kwenye majaribu ya ufisadi? Mpe cheo pale TRA au EWURA alafu urudi kusema hapa.Kwanza nianze kwa kusema Vijana mnapopata nafasi za kiuongozi kaeni mbali na Matendo ya rushwa pamoja na Ufisadi Kuna siku majina yenu yatajadiliwa kama ilivyo leo kwa Kafulila, Polepole, Silaa na wengine.
Naomba mniwie radha kwa mada hii huenda isiwapendeze baadhi ya watu humu hasa wasiopenda kusikia Kafulila anatajwa na mtu yoyote.
Kwa record za uzalendo alizoweka Kafulila hapa Tanzania ni ngumu kuuzuia umma kumjali iwe mchana au usiku tunapenda au hatupendi tutamjadili tu kwa merits zake hizo.
Binafsi nimejipa muda wa kutosha wa kufuatilia kile kinachoandikwa humu na kusemwa maeneo mbalimbali kumuhusu Kafulila.
Nimegundua mambo makuu matatu yaliyo nyuma ya tajwa tajwa hii ya Kafulila kama ifuatavyo:-
1. Kwamba, Leo ukitenda mema au mabaya kwa Jamii taarifa zako zote zitaandikwa hewani (clouds) na Umma huo huo hata kama wewe utakuwa nje ya ulingo wa siasa kama ilivyo kwa Kafulila bado utajadiliwa tu.
2. Kwamba, baadhi ya Watanzania hata kama wao wanapenda kupokea rushwa au kutoa rushwa bado wanafurahishwa zaidi na kiongozi anayekataa kutoa au kupokea rushwa kama ilivyo kwa Kafulila.
3. Kwamba, Kafulila anapendwa na kuaminiwa na Watanzania walio wengi hasa wenye vimelea vya Hayati baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere na Rais Samia Suluhu Hassan.
Harudhiki hiyo nafasi yuko nayo ? Hadi ahitaji TRA au Ewura? Yeye sio mtu wa tax au CPA au Engineer au related fieldKafulila amepata cheo gani kinachomexpose kwenye majaribu ya ufisadi? Mpe cheo pale TRA au EWURA alafu urudi kusema hapa.
Stupidfull, Nchi imejaa vijana wa hovyo sana,Kwa hiyo hao maraisi wengine wote uliowaruka wewe Kafulila kama Raisi Mwinyi ,Kikwete na Magufuli walikuwa wala Rushwa na wenye vimelea vya rushwa kasoro Nyerere na Samia tu uliowataja?
Kafulila una shida gani wewe?
Raisi Samia tunaomba umpumzishe huyu mwehu wako tumechoka na nyuzi zake
Position ya Sasa yamkini inampa nafasi aonekana Kama mzalendo. More awe katibu mkuu we wizara anashikia kasma. Nafasi ya RC pia Hana access na fungu maana yeye si accounting officer. Ila kwa ajili utafiti uliofanya tunashukuru kwa uzalendo wakeKwani wewe ukiacha hizo kejeli,
Unasemaje kuhusu Kafulila?
Je, ni mwizi?
Je, ni fisadi?
Je, kajilimbikizia mali zozote popote?
Je, anafaa kujadiliwa kwa record zake hizo hata kama zimepita?
Hili Taifa tumekuwa watu wa kujali udaku badala ya hatma ya Taifa lenyewe.
Leo Rais Samia anafanya mambo makubwa ila hayapewi uzito badala yake umbea ndio unapewa nguvu.
Hata hivyo Mimi sio Kafulila Kila mtu humu ananifahamu kitambo sana.🤣Harudhiki hiyo nafasi yuko nayo ? Hadi ahitaji TRA au Ewura? Yeye sio mtu wa tax au CPA au Engineer au related field
EWURA au TRA aende kufanya nini ?
Kasikia mishahara kule mikubwa basi anawinda tu na kujipa promo humu
Raisi deal naye tunakushauri kwa nia njema kabisa
Mbwage
Mtu gani haridhiki na post ukimpa badala ya ku concentrate kwenye jukumu yuko nalo kutwa kushinda mitandaoni na kwenye Press
Makamu wa Raisi Dk Phillip Mpango can you advice the president on this issue? Aondolewe
Wanaotengeneza umbea ni hao hao unaowasifiaKwani wewe ukiacha hizo kejeli,
Unasemaje kuhusu Kafulila?
Je, ni mwizi?
Je, ni fisadi?
Je, kajilimbikizia mali zozote popote?
Je, anafaa kujadiliwa kwa record zake hizo hata kama zimepita?
Hili Taifa tumekuwa watu wa kujali udaku badala ya hatma ya Taifa lenyewe.
Leo Rais Samia anafanya mambo makubwa ila hayapewi uzito badala yake umbea ndio unapewa nguvu.
Kafulila ndoa tu inemshinda tena ya KikiristiPosition ya Sasa yamkini inampa nafasi aonekana Kama mzalendo. More awe katibu mkuu we wizara anashikia kasma. Nafasi ya RC pia Hana access na fungu maana yeye si accounting officer. Ila kwa ajili utafiti uliofanya tunashukuru kwa uzalendo wake
Acha huu unyonde nyondeHarudhiki hiyo nafasi yuko nayo ? Hadi ahitaji TRA au Ewura? Yeye sio mtu wa tax au CPA au Engineer au related field
EWURA au TRA aende kufanya nini ?
Kasikia mishahara kule mikubwa basi anawinda tu na kujipa promo humu
Raisi deal naye tunakushauri kwa nia njema kabisa
Mbwage
Mtu gani haridhiki na post ukimpa badala ya ku concentrate kwenye jukumu yuko nalo kutwa kushinda mitandaoni na kwenye Press
Makamu wa Raisi Dk Phillip Mpango can you advice the president on this issue? Aondolewe
Naona unataka kuolewa kijanaKafulila ndoa tu inemshinda tena ya Kikiristi
Wakristo tuna kipimo cha kupima mtu kama ana akili kichwani au la
Biblia imagination kuwa wanaume waishi na wanawake kwa akili
Mwanaume asiyekuwa na akili hawezi ishi na mke ndoa lazima ivunjike
Kafulila akili hana ndio maana ndoa yake na Jesca Kishoa ilishavunjika
Anashindwa ku.manage mke tu ndio aweze nchi au taasisi kubwa wakati akili tu ya ku manage mtu mmoja tu mke imemshinda
Nimebubujikwa na machozi kwa maneno haya😞😞Mkuu nakuelewa sana unapojaribu kuhamasisha Uzalendo kwa vijana wetu ila ukweli ni kwamba Tanzania mtu akiwa mzalendo anaonekana fala na hana maana yoyote hata kwenye familia yake.
Unakuta mzazi anamwambia mtoto mbona wewe hujengi Wala huna Magari kama yule mtoto wa Fulani.
Ndio maana vijana wengi wanakimbilia kuiba ili kuzifurahisha Jamii zao
Nani kimeo?unaanza vizuri mwishoni unaharibu....huo stari wa mwisho uliomalizia kimeo, kushindwa kusimamia kazi nzuri za watangulizi wako (rasilimali) nayo ni ufisadi..unakuwa automatic umeshiriki kufisadi. Kushindwa kuwaadhibu wezi wanaokuzunguka hiyo ni automatic nawe umegeuka mwizi....unatetea wezi wenzako. Huyo uliyemtaja ,mwishoni huko ni kimeo😎
Kama ulivyo wewe?Huyo kafulila kweli jinga
Kwanini usitaje wewe huo uji ulionywewa?Kafulila yupi? Huyu huyu ex RAS Songwe??...nenda kaulize khabari zake kwa RHMT members wa Songwe,..ni wale wale tu,wanaokunywa UJI wa Wagonjwa..NDIO