Vijana mnapopata nafasi za kiuongozi kaeni mbali na rushwa na Ufisadi, Kuna siku majina yenu yatajadiliwa kama ilivyo leo kwa Kafulila

Uteuzi ndio huo tayari,
 
Mbona hajateuliwa?
 
Ni mrundi huyu
 
Sijui kama ni kampeni au la!
Lakini thread za Kafulila zimekuwa nyingi, tena kila siku.
Kafulila this, Kafulila that!

Kafulila kasema hivi,
Kafulilakamwona huyu,
Kafulila amesema hivi,
Kafulila kaenda huku,
Kafulila kaenda kule
Kafulila.....Kafulila....Kafulila.......Kafulila................!

Kafulila gombea Urais kabisa, tumekuelwa!
 
Amefanya Kazi kubwa iliyomshinda Alhaj Kigoda na mwenzake Alhaj Ngasongwa enzi za Ubinafsishaji 🐼
 
Amefanya Kazi kubwa iliyomshinda Alhaj Kigoda na mwenzake Alhaj Ngasongwa enzi za Ubinafsishaji 🐼
..sidhani unawatendea vyema Dr. Ngasongwa na Kigoda watu wenye mchango mkubwa kwa taifa kwa uaminifu, ujuzi na maarifa yao kutumikia wananchi na mtu ambaye hana rekodi yoyote zaidi ya kufanya uchawa ili apewe nafasi/cheo, kashindwa kuishi na mtu mmoja unaanzia wapi kumpa trust ya anayosema?
 
 

Attachments

  • 51bbe7263e4311a544e4b377fb1c3cf5.jpg
    6.9 KB · Views: 2
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kafulila ndio mwamba kwa hoja huwezi kuzungumzia issues za nchi bila kumtaja
 
CHADEMA mtasumbuka sana na Kafulila, Jamaa ni akili kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…