kusema watoto wa kike ni bahati mbaya ni kufuru mbele za Mungu coz yeye ndo anaepanga.N A KAMA NI BAHATI MBAYA hata mama ako alizaliwa kipindi cha honeymoon ko tumuite bahati mbaya?Acha udhaifu wewe
Anafaa kuwa wa kwanza ila kama alizaliwa nje ya ndoa mfano watoto wanaopata mimba wakiwa mashuleni huwa wanazaa wakike.!
Ni reseach ambayo imetolewa na wataalamu na si mimi
Hata wewe jaribu kuchinguza utaona wengi ni wa kike na walio ndani ya ndoa wengi utakuta wanachanganya yan wakwanza wanakuwa nusu kwa nusu 50% kwa wakike na kiume na si 80% kwa 20%