mimi nimepigia pale shule ya msingi mlimani saa moja asubuhi watu walikuwa nyomi sio kawzida .rafiki yangu amesafiri toka dodoma kuja kupiga kura mpaka inatia moyo. Wapo madokta na maprofu wabishi lakini nimefika saa moja kasaro tano nimewakuta ktk foleni. Mabaliko yapo njiani masaa machache yajayoHii ndo inakuonyesha jinsi gani vijana walivyoamua kuleta mabadiliko. Sisiem watakiona cha mtema kuni safari hii
Baadhi ya sababu zilizotolewa na wanawake ni kukatishwa tamaa na mategemeo waliyopewa uchaguzi uliopita, kutishwa na waume wao kuwalazimisha kupigia chama cha waume zao hasa maeneo ya Kusini Mtwara na Songea Ruvuma, Kigoma nk.