Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Wakuu nimeona ni vyema nikashea na nyie kama kuna mtu atashawishika basi awekeze huko.
Hawa jamaa nimewaona mitandaoni na kwenye page ya salim kikeke, wana mradi wao mpya wa uuzaji wa viwanja kibaha ngeta, wanadai ni umbali wa km 15 kutoka moro road.
Kesho ndio wanazindua huo mradi mimi kama kijana nimeona ni vyema nikajionee kama nitaridhika basi nitawekeza huko. Japo nina maeneo mengine huko kibaha.
Bei zao ni 2 million kwa keshi na 2400,000 kwa installment yaani 200,000 kwa kila mwezi kwa mwaka mzima. Viwanja ukubwa ni kuanzia sqm 400 na kendelea. Kuna viwanja vya makazi na biashara.