Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Kama hujasema ni kilomita ngapi kutoka barbarani nasi kuna shida.Wakuu nimeona ni vyema nikashea na nyie kama kuna mtu atashawishika basi awekeze huko.
Hawa jamaa nimewaona mitandaoni na kwenye page ya salim kikeke, wana mradi wao mpya wa uuzaji wa viwanja kibaha ngeta, wanadai ni umbali wa km 15 kutoka moro road.
Kesho ndio wanazindua huo mradi mimi kama kijana nimeona ni vyema nikajionee kama nitaridhika basi nitawekeza huko. Japo nina maeneo mengine huko kibaha.
Bei zao ni 2 million kwa keshi na 2400,000 kwa installment yaani 200,000 kwa kila mwezi kwa mwaka mzima. Viwanja ukubwa ni kuanzia sqm 400 na kendelea. Kuna viwanja vya makazi na biashara.
View attachment 3181838
View attachment 3181839View attachment 3181833
Mkuu soma vizuriKama hujasema ni kilomita ngapi kutoka barbarani nasi kuna shida.
Hawa jamaa nimewaona mitandaoni na kwenye page ya salim kikeke, wana mradi wao mpya wa uuzaji wa viwanja kibaha ngeta, wanadai ni umbali wa km 15 kutoka moro road.
Tuchangamkie fursa mkuu.secretarybird kijana wangu.... Tunafanyaje
Hivyo viwanja vilikuwa vya bank ya DUNDULIZA iliyofilisika! Sijui vilinenewa nini yarab toba! Haviuziki. Tumepambana kwa miaka minne tumechoka tukaachaWakuu nimeona ni vyema nikashea na nyie kama kuna mtu atashawishika basi awekeze huko.
Hawa jamaa nimewaona mitandaoni na kwenye page ya salim kikeke, wana mradi wao mpya wa uuzaji wa viwanja kibaha ngeta, wanadai ni umbali wa km 15 kutoka moro road.
Kesho ndio wanazindua huo mradi mimi kama kijana nimeona ni vyema nikajionee kama nitaridhika basi nitawekeza huko. Japo nina maeneo mengine huko kibaha.
Bei zao ni 2 million kwa keshi na 2400,000 kwa installment yaani 200,000 kwa kila mwezi kwa mwaka mzima. Viwanja ukubwa ni kuanzia sqm 400 na kendelea. Kuna viwanja vya makazi na biashara.
View attachment 3181838
View attachment 3181839View attachment 3181833
Umenikumbusha wazee wa zamani walisema sinza ni mbali Sanaa WAKASEMA Tabata segerea ni bonde la mpungaaa..Ngeta ni mbali hatari
Nilijua tu mtakuwepo wa kusema ni mbali au ni porini kama Mbezi Kimara ilivyosemwa ni porini around mid 2000's.Ngeta ni mbali hatari
Hiyo Kibaha Ngeta kituo kikuu kwa Morogoro road ni Kibaha ipi?Hivyo viwanja vilikuwa vya bank ya DUNDULIZA iliyofilisika! Sijui vilinenewa nini yarab toba! Haviuziki. Tumepambana kwa miaka minne tumechoka tukaacha
Nawaombea wafanikiwe ni pazuri sana
KongoweHiyo Kibaha Ngeta kituo kikuu kwa Morogoro road ni Kibaha ipi?