Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Unamaanisha nini mkuu.Nawahasa Vijana mTafute hela mpunguze kujieleza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ukiwa na Hela hata Dem aseme we Kibamia hakuna atakae mind watasemaa anachafuliwa tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dhaaaaDaaah!!Nimekumbuka juzi nilikuwa nimeweka mikono nyuma wakati wa kujieleza,ufukara ni mbaya sana.
Sanaa.... kwanza mtu anakosa confidence,muonekano unakuwa wa hovyo,ukiona watu waliofanikiwa wa karibu yako ni nduki...Daaah!!Nimekumbuka juzi nilikuwa nimeweka mikono nyuma wakati wa kujieleza,ufukara ni mbaya sana.