Vijana Tanzania hatupendani. Tuna haribiana maishe. Nimetapeliwa na Kijana mwenzangu mtanzania nikiw

Vijana Tanzania hatupendani. Tuna haribiana maishe. Nimetapeliwa na Kijana mwenzangu mtanzania nikiw

sabzer

New Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
1
Reaction score
1
Nina sikitika sana kuwa watanzania wengu tumekuwa sio wakweli na tumedeula matapeli tumetapeli wageni mpaka sasa uaminifu haswa kwa sisi vijana tunaoanza biashara umekuwa ni jambo ambalo hatuna na imekuwa vigumu kufanya biashara za kimataifa kwaajili ya wary wachache wenye tamaa za muda mfupi na mpaka sasa hawa ndio maadui wa maendeleo ya nchi yetu na wanaturudisha nyuma.
Ninaomba msaada kwa yeyeto anaweza kunisaidia nimetapeliwa $8000 katika biashara ya dhahabu ninamjua aliye nitapeli na ninaushahidi wote na udhibitisho. Nina copy ya passport yake na namba zake za simu zote zikiwa zimesajiliwa kwa jina lake.
 
Nenda polisi ufanye utaratibu wa kumfungulia jalada akamatwe na kufunguliwa mashtaka..
 
Hebu tupe mazingira ya utapeli........ilikuwaje........?
 
Mie mtu akinitapeli atajuta! Cha msingi kama una details zote nenda nae 101.
 
pole sana fuata utaratibu wa kiusalama uweze kumpata muhusika ila cha maana zaidi kama ushauri kwa wadau wote ni kuwa usimuamini mtu amini kwenye kuandikishiana na mikataba ya kisheria hiyo ndio nguzo ya ufanyaji wa biashara ambayo njia hiyo hata mungu ametuagiza tuifuate katika biashara zetu.
 
MLIFAHAMIANAJE?ULIKUTANA NAE BARABARANI AKAKUELEZA ANAMZIGO AU ILIKUAJE?ONGEA KWA KINA MAZINGIRA halisi ILIVYOTEA DOCS PICS PASS MAY BE FAKE EVEN CELL NUMBER CAN BE FAKE/TEMPORARY FOR CONS FILFULMENTS/ONCE U CALL WHAT HAPPEN?
 
Pole sana
Haki ipatikane ni mpaka mdai atendewe vzr
na kuridhika,jaribu kuwaona wanasheria ili
kesi hiyo ushauriwe iwe ya namna gani .
 
weka kila kitu hadharani humu jamvini ... utayaona matokeo baada ya muda mfupi
 
Mie mtu akinitapeli atajuta! Cha msingi kama una details zote nenda nae 101.

Mule mule mbaba.....sisi wengne hatuna muda kwenda polisi tumamalizana huku huku kiume zaidi...hela lazima atatoa tu na kama kaila ataitafuta atarudisha !!! Binafsi case kama hzo nazipenda sanaaaa.
 
Back
Top Bottom