Window Up De star
New Member
- Nov 3, 2018
- 3
- 2
TUPATIE JIBU MKUUUnauliza tukupe majibu au unataka tukuulize utupe majibu ya hizo biashara.
Mimi sijui. Nimefungua uzi ili nipewe majibuTUPATIE JIBU MKUU
Nibiashara gani ambayo vijana tunaweza kujiajiri.Na yenye mtaji mdogoJukwaa limejaa watu wa uelewa wa mambo mbalimbali ngoja waje tuvune maarifa.
Kuuza tiGoNibiashara gani ambayo vijana tunaweza kujiajiri.Na yenye mtaji mdogo
safe sanaTatizo siyo Mtaji, je una Courage ya Kufanya Hizo kazi za Mitaji midogo.. maana Biashara hizo wengi wa Vijana Mkishaziona Mnaona Mnajidhalilisha ,halafu biashara siyo lazima uanzishe wewe zingine zimeshaanzishwa so Join
1. Nenda Kaoshe magari na Pikipiki Maswala ya Kuelewana mtajuana na Boss mnalipanaje kwa Kila Gari unaloosha kama ni Tsh 2000 kwa kila Gari inamaana ukiosha magari 10 una 20 per day
2. Tembea Mtaani Na Bodaboda kama Day worker halafu Then tafuta Mkataba wa Boda unaendesha miezi kadhaaa baadae inakuwa yako
3. Tengeneza Vitafunwa Mfano Vitumbua Thai en Sambaza Kwenye Vibanda vya Vyakula kwa Bei ya Chini kidogo mfano kama kitumbua ni 300 wewe kawauzie 250...
Kama unauza Mimi nitakuwa Mteja wako wa kudumu usihofuKuuza tiGo
Nilifikiri umekuja na ushauri wa ni biashara gani ya kufanya. Kumbe na wewe pia bado umebwetekavijana wengi tupo mtaani hatujui cha kufanya. Je, ulishawahi kujiuliza nibiashara gani yenye mtaji mdogo ambayo unaweza kunzisha biashara yako
Mtu akisema anataka kununua yako utakasirika!Kuuza tiGo
NdiyoMtu akisema anataka kununua yako utakasirika!
Yaishe mkuuNdiyo