Maisha yamekuwa magumu nchi inatafunwa, hakuna kinachofanyika kuweka mazingira wezeshi kwa wananchi. Fedha zinakopwa kwa ajiri ya miradi zinaishia kwenye mifuko ya wanasiasa. Kazi yao nikusema wanajenga nchi huku hakuna kitu kama hicho.
Wanajenga mifumo ya kutengeneza watoto wao kuishi maisha ya kifahari kwa kodi za Watanzania kwanini tufanywe wajinga kiasi hiki.
Ni bora tungeona hata miradi inatekelezwa kwa kasi sasa mambo hayo hamna, mkopo trilioni 6 bandari zetu na mapori vyote vimeshaenda baada ya Raia kufanya hayo tunepata nini?