the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
"Sisi majority abao ni vijana tunaweza tukakata huo mrija tukapata viongozi ambao ni real simu anapokea akikuta missed call yako anakupigia. Tunaacha viongozi wengi kwa sababu hawana fedha , tunawaacha viongozi wengi kwa sababu ya mionekano yao, tunawwacha viongozi wengi tunawanyima nafasi za uongozi kwa sababu ya mionekano yao, kwa sababu ya familia wanazotokea hazina nasaba na uongozi. Tuchague viongozi ambao wapo real"