Vijana tuchukue tahadhari dhidi ya uchumba sugu na madhara yake

Haya mambo ya mapenzi bhn hayana formula ni kumwachia mungu unaweza achana na huy alikuwekaa miaka miwili ukaenda kwa mwingn nae yale yale haya ya mapenzi yakuacha yajiendeshe tu
Mleta hoja anataka afosi ndoa anataka eti mkikaa miaka miwili kama hakuna ndoa muachane, kwanza mapenzi ni watu wawili kupendana maisha iwe ndoa isiwepo penzi liko palepale. Huyu siyo wa kuolewa anafata ndoa zaidi ya mapenzi. Ataishia kuruka ruka kila baada ya miaka miwili. Wako watu wamekaa miaka 20 wamekuja kuoana baadae.
 
Kwaiyo kama malengo yangu ya kuoa ni baada ya myaka 5 ijayo ,ivyo unashauri kwasasa nikae tu bila kunyandua?? au una maana ya kwamba niwe nabadilisha badilisha kila baada ya mda mfupi ili nisikae kwenye mahusiano mda mrefu?

Au kichwa changu ndo kigumu kuelewa?

Sema mleta mada utakuwa ni mfuasi wa rikiboy [emoji1][emoji1]
 
Uko sahihi ila umeongea ingeneral sana, wapo wanaokaa zaid ya hyo Miaka 2 kwasababu Malengo yao waliyopanga May be yanaeza kuchukua miaka zaid ya 2 na hawatak malengo hayo yaingiliane na ishu za Ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…