Vijana: Tumekusikia lakini maombi yako tumeyakataa

Gen Z

Tunasema kama jinsi ulivyoyakataa maagizo ya taasisi mbalimbali za kimataifa kuhusu uchaguzi. Na sisi kama vijana tunasema tumekusikia lakini maombi yako tumeyakataa.
Rais Samia amenukuu mstari kutoka kwenye biblia Yesu akisema "Hawajui walitendalo" hivyo nao wasamehewe🤣
 
We jamaa bhana🙌,🚮
 
Mtoto wa kike tulia nyumbani umuhudumie mumeo Abdul vizuri, Wacha watoto wa kiume tupambane
 
Muda si mrefu wewe na Bosi wako mtakimbilia kwa huyu jamaa anayeitwa Mwamposa ili kutafuta hifadhi. Dalili zimeanza kuonekana kwa Bosi wako kuanza kusoma Biblia na kunukuu vifungu vyake. Bado wewe.
 
Gen Z

Tunasema kama jinsi ulivyoyakataa maagizo ya taasisi mbalimbali za kimataifa kuhusu uchaguzi. Na sisi kama vijana tunasema tumekusikia lakini maombi yako tumeyakataa.
Sema wewe umetakataa usiseme vijana maana na mimi nikijana au wamanisha vijana wa nchi gani mazee. Maana naona vijana vijana vijana je ni vijana wapi wanaotaka kuharibu taifa la Tanzania kwa upuuzi wa namna hiyo? Mi mwenyewe nimevunjiwa duka tarehe 29 ila nimesamehe kama dini yangu inavyosema saba mara sabini. Kufa kila mtu atakufa so why mnataka kuipoteza Tanzania ******* namna hiyo, ninja keshasema kuwa kuandamana kwetu ndiyo kutakuwa mwanya wa kuruhusu wageni kuvamia nchi yetu bado hamsomi alama za nyakati **** nyie. Vijana my ass
 
Kwa madhara niliyoyapata kutokana na maandamano ya 29/10/2025 sitamani tena kuandamana.Wahuni waliniharibia sana biashara yangu na Mali zangu kiujumla.
 
Polisi na wale wadunguaji wanapaswa kufikiwa kwa ukaribu na kusalimiwa kwa weledii.
D9 natokaaa tenaaa, sijari km nimenusurika na risasi.

Hotuba imenitia hasira hii. 😭😭😢😢
 
Wee chawa em tutolee ashuo zako hapa, duka uwe nalo wewee?
Pumbaav, watu tumepoteza wapendwa wetu, je vipi uhai wao una thamani sawa na hizo bidhaa zako fake uchwaraa?
Qumamaqe zako.
 
Kwendraaa huko bhanaa wee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…