Vijana: Tumekusikia lakini maombi yako tumeyakataa

Sawa tutaonana after D9 if god wishes mtanzania mwenzangu. Kumbuka ningejua huja baada ya kitendo. Na mimi siyo chawa ila im thinking about my family na rafiki zangu waliobaki na familia zao.
Tokaa kuleee bhanaa wee, hata sisi tuna marafiki, watu wa karibu, familia, na baadhi uhai wao umekatishwaa.

Wee vipii
 
Kwenye msafara wa Mamba, kenge pia wapo
 
@Watatubu bila kupenda!
 
Huo uwezo haupo!
 
Sasa hivi Watanzania tumechangamka hadi rahaaa
 
Hongereni mnapata hata muda wa kusikiliza porojo.. 🤮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…