Mimi staki kuamini Taifa langu linanibagua,ila sera mbovu na mikakati mibovu,utendaji mbovu ndio unatubagua.kila siku tunasikia kwamba serikali inawekeza katika elimu,,mbona ualisia wake ni vichekesho!leo hii mtu anasomea ualimu bila mkopo,,alafu huyo eti unamwandaa akimaliza akatengeneze "BIG RESULT NOW" katika simple logic tu hivi inawezekana mtu aliyeteseka sana,alafu huyohuyo ndio atengeneze ufaulu mkubwa sasa?sio walimu,mimi naamini kwamba watu wanaoingiza nchi katika mikataba mibovu,ni watu ambao kwa namna moja wanalipa kisasi.ni ngumu kuamini,lakini ipo siku kila mmoja ataamini tu.nchi imefika sehemu ambavo kila mtu anasaka tonge akipata tu,anasahau kabisa kutumikia uma.vijana wanaoteseka vyuoni huku Taifa likiwa na rasilimali nyingi,tunatengeneza bomu baya sana hapo baadae,tunaandaa wasomi ambao wana mioyo ya visasi na sio kulitumikia Taifa,,kanununi na misingi aliyoiweka Baba wa Taifa,,ya kutokufanya dhambi mbay ya ubaguzi,,,kwa sasa ndio inafanyika na italiangamiza Taifa letu.naomba nimnukulu"DHAMBI YA UBAGUZI NI SAWA NA KULA NYAMA ZA WATU,UKILA SIKU MOJA TU,UWEZI KUACHA,UTAENDELEA KULA TU"
KALIBUNI KWA MICHANGO.
KALIBUNI KWA MICHANGO.