Vijana tunasomea ualimu uko tumenyimwa mikopo,,,tukiajiliwa tutaambiwa tufaulishe,,aisee,,tutaona,,,

KG.KASELO

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
252
Reaction score
20
Mimi staki kuamini Taifa langu linanibagua,ila sera mbovu na mikakati mibovu,utendaji mbovu ndio unatubagua.kila siku tunasikia kwamba serikali inawekeza katika elimu,,mbona ualisia wake ni vichekesho!leo hii mtu anasomea ualimu bila mkopo,,alafu huyo eti unamwandaa akimaliza akatengeneze "BIG RESULT NOW" katika simple logic tu hivi inawezekana mtu aliyeteseka sana,alafu huyohuyo ndio atengeneze ufaulu mkubwa sasa?sio walimu,mimi naamini kwamba watu wanaoingiza nchi katika mikataba mibovu,ni watu ambao kwa namna moja wanalipa kisasi.ni ngumu kuamini,lakini ipo siku kila mmoja ataamini tu.nchi imefika sehemu ambavo kila mtu anasaka tonge akipata tu,anasahau kabisa kutumikia uma.vijana wanaoteseka vyuoni huku Taifa likiwa na rasilimali nyingi,tunatengeneza bomu baya sana hapo baadae,tunaandaa wasomi ambao wana mioyo ya visasi na sio kulitumikia Taifa,,kanununi na misingi aliyoiweka Baba wa Taifa,,ya kutokufanya dhambi mbay ya ubaguzi,,,kwa sasa ndio inafanyika na italiangamiza Taifa letu.naomba nimnukulu"DHAMBI YA UBAGUZI NI SAWA NA KULA NYAMA ZA WATU,UKILA SIKU MOJA TU,UWEZI KUACHA,UTAENDELEA KULA TU"
KALIBUNI KWA MICHANGO.
 

Tatizo ndungu zangu watanzania hamutaki kabisa kukubaliana na nyakati lakini habu jaribu kuichukua hii " Wakati wa Mwl. JK sera ya nchi ilikuwa ni ujamaa maana yake ni kwamba kama unapata elimu basi ni kwa faida ya jamii nzima hivyo serikali ilikuwa inahakikisha inakulipia kila kitu kuanzia kukusafilisha kwenda shule/chuo mpaka unarudi home bila hata kutoa shilling 1 kutoka mfukoni mwako, lakini baada ya kufeli hiyo sera hakuna aliyetagaza sasa tunahamia capitalist lakini kiukweli tunaishi k-capitalist maana yake kama unaelimu ni kwa faida yako, pamoja na mambo mengine inatakiwa ulipwe vizuri ukiwa bado unanguvu ili uandae maisha ya uzee wako baada ya kaz kwasababu hakuna atakae husika na wewe after retirement tofauti na enzi za ujamaa, cha kufanya hakikisha ukiwa bado unaguvu work hard ili uzeeni usibaki umenuna na ukiandamana hata kama ni kikongwe tunakumwabia maji ya kuwasha hauna jipya umesha-expire, so kama wewe ni teacher una-degree na unalipwa below 500,000/=, usigome now hiyo ni pesa ya kulipwa week moja usibweteke ukusubir watoto waku sifie uko nondo fanya busness tofauti kabisa na mambo ya shule kwa hizo week 3 ambazo haulipwi any thing, tena walimu nasikia mna motto: teacher h'v to be creative & roll model. Fanya mambo acha kutukumbusha enz za ujamaa."
 
ualimu umekosa umepitia diploma nini?

hilo ni swali au?kwani diploma ndio nin?we umechaguliwa teku,au vyuo vya ajabuajabu,,na wewe upo chuoni?logic zako mboni ni za kifoolish sana!uko very back in case of thinking!una kazi sana,,,,,,,kajipange,,,,
 

kumbuka bodi ya mikopo iliundwa kwa lengo la kusaidia wanafunzi wa elimu ya juu bila ubaguzi,,,lakini kwa sasa bodi hiyo inafanya kazi,na wizi mkubwa sana,,,unajua mwaka huu wafanyakazi wengi wa bodi wamesimamishwa kwa sababu ya kubainika kujihusisha na wizi?kwa sasa wao wanachochea ubaguzi ndani ya nchi,,,,mambo ya priority na non priority hizo ndio nin?kwani wewe unaamini kwamba serikali ya Tanzania inashindwa kuwasomesha wanafunzi wake mpaka inaanza ubaguzi,,,hiyo ni uzembe wa viongozi walioko madarakani kwa sasa.mabilioni yanafichwa nche watanzania wanateseka.sio kwamba tunalalamika ni haki yetu kama raia wa Tanzania!mbona vijana wao wanasoma na kugalimiwa na serikali tena vyuo vya gharama nje.sasa hiyo ni nin?PLATO IN HIS BOOK TITTLED "THE REPUBLIC" HE SAYS "THE CHARACHATER AND SURVIVAL OF ANY STATE IS DUE TO EGUALITY BETWEEN PEOPLE AND RULERS"anasema usawa ni swala la msingi katika nchi yeyote,ili amani iendelee kuwepo,unadhani watanzania kwa sasa wanaamani?utajua hilo siku yakifika.
 
kazi kwel kweli...kwani kupewa mkopo ni lazima?..pili ufanisi wa kazi na hesbl wap na wap?...
 
Hamuoni walimu wenzenu wanavyonyaswa na nyie bado mnakimbilia uko uko,
 
kazi kwel kweli...kwani kupewa mkopo ni lazima?..pili ufanisi wa kazi na hesbl wap na wap?...

wewe ni mmoja wao au umetumwa na tahriso,hacha umbumbu kijana wenzio tunazungumzia maswala ya msingi wewe unaleta upimbi,kama cio lazma kunaumuhimu gani wa kuitwa bodi ya mikopo ya elimu ya juu?waiite SACCOS basi tujue,Hacha kuwa mkia kijana.kuwa mwanaharakati yanayo mkuta mwenzio leo yatakukuta wewe kesho,jifunue blanket la ujinga na ubinafsi.
 
kazi kwel kweli...kwani kupewa mkopo ni lazima?..pili ufanisi wa kazi na hesbl wap na wap?...

Wewe,mimi sikulaumu,,ila nasikita kwa kuwa umeumbwa na kasolo moja hivi,,"BRAIN IMPAIRED"sijui utatibiwa wap mdogo wangu!aisee ni tatizo kubwa sana,,,,hiloooooooooooo,,,
 
Hamuoni walimu wenzenu wanavyonyaswa na nyie bado mnakimbilia uko uko,

Wewe unadhani suluhsho la walimu kunyanyaswa ni kuacha kusomea kozi hii,kila kitu kinachangamoto ata wanaosoma kozi nyingine pia nao tunawasikia. Aliyepelekwa mabwepande ni mwalimu?.Hacheni ushabiki wa kuchangia mada tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…