Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
State of mind na afya ya akili ya vijana wa kibongo utaijulia humu JF. At some point kijana anaweza akakakurushia dongo kali humu, yani 24hrs yeye amevurugwa.
Frustration imekuwa kali, vijana wanachomiliki ni akaunti za mitandao ya kijamii na mia 500 za kununulia bahasha za kuzunguka na CV zao.
Mabinti nao siku hizi wana demand way too much into a man, so pale ulipodhania bebi anaweza kuwa faraja ya tabu zako ndio huyo tena anazipigia plaster kabisa na rangi juu.
Vipato vyenyewe hadi kubaki nacho unakuta kimekakatwa vipande vingi sana, alafu ghafla unamuona dogo huyo "Baba juma tatu ndio tunafungua shule"
Wazazi nao siku hizi ni mwendo wa kumfunda binti aangalie mwanaume mwenye uwezo.
Hii inapelekea mabinti kubabaishwa na flashy life, so ni mwendo wa kuchakazwa sana majamaa wenye crown, alafu at some point wana bakia kuwa single mother huku wakiandika nyuzi kulaumu wanaume wamekuwa wahuni sana.