k-bee
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 966
- 1,084
Habari gan wadau? Kitambo nlipotea ila nilikuwa na michongo flan naipiga so nlikuwa bize kidogo...! Tatizo la VIJANA sisi ni wagumu kupeana michongo.
Ni hivi kuna ishu kama mbili tatu nlikuwa nazifanya ambazo now napiga mpunga tararibu ISHU hizo ni kama zifuatazo
1) FOREX...Ni kweli sema inahitaji muda kuanza kutengeneza faida
2) Kilimo cha tangawizi cha kumwagilia hii inakupa best gain hii haswa ule usem jembe hakimtup mtu hapa ndio penyewe
3) Biashara ya Mpunga na Mchele....Now mpunga huku shamba tabora na shinyanga upo chin so ukiwa na fedha ukanunua na kusafirisha Mikoa ambayo hailim unapata faida tosha
VIJANA TUSHEE MICHONGO weka mchongo wako. Tupeane fursa Umaskin sio ndugu yetu.....Chaaaooo!