jaribu hapo kwenye red siku moja huenda ikasaidia kupunguza hii tabia, teh teh teh
mifereji ya suez! mbona nyie mnapiga vimini, ukicheki michirizi kibao.sijui nani aliwaambia tunavutiwa na hizo ma briefs na maboxers zao! Sipendi kuona nguo zao za nadni zikiwa nje!
Wengine wanatuachia na mifereji ya suez na mastrech marks kabisa tuyaone vizuri.
Guys....it aint appealing at all!

Embu waache kaka zangu...mi NAPENDA SANA kuona boxer zao!!SEXYYYYYYY!!

mifereji ya suez! mbona nyie mnapiga vimini, ukicheki michirizi kibao.
OK Ad!
Umesomeka.....
Kweli haijakaa poa....
Vijana na "usasa" ni ulimbukeni wa kuuza utu.
Ila Ad, kuna mashosti wanazo hizo pozi za kuweka wazi "mistari yao ya ikweta"
Sasa sijui ndio swagga hizo? Mitego? Au style?
Kwa ku-balance hapo, tusaidie na za mashosti sababu hii kitu ni inaboa kwa "utu" wetu kwa ujumla haijalishi ni "boy" or "girl"

Sisi na nani wee Ci?...lol

Ngoja nikwambie, nyie mnavutiwaga na miiguu, makalio na maungo mengine ya kina dada.

wadada wengi wanavutiwa na vifua vya kina kaka/mwananaume msuli...

Sasa hayo ya kutuonesha hivyo vingine mnatukimbiza bana. Si unaona hata Kobello kaponda vi jeans taiti kwa wakaka! Miili yenu hairuhusu bana.

sijui kwanini

wameondoa kidude cha thanx...

Ki vipi yaani ??

unaongelea tukivaa short shots, au mini skirts...
asante kwa ujumbe ila na wadada waovaa viblauzi vidogo, vinaanza kupanda juu halafu waanza kuhangaika kuvishusha watafute njia mbadala ya kujisetiri ....... sawa eeeh
xactly! Sasa hiyo ya juu yenye ni low cut ndo wakaka wanakwazika (wengine wanapenda tena nimewahi kusoma humu JF wenyewe wame confess wakiona wadada wamevaa low cut jeans afu na hiyo ngozi yetu laini ikionekana na ile nanihii bas ina wavutia)
Yaani huwa nakereka sana sijui ni kwa nini, utakuta boxer chafuuu