klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Missed you Kloro...
Ummm ufafanuzi gani tena unataka?!
Dah!...hamia Kandahar basi.Hata mimi nawashangaa sana!
Hivi watanzania nani ameturoga jamani? Tumekuwa na tabia ya kuiga mambo ya ovyo ovyo tu kutoka kwa wenzetu!
Wasichana ndo wale wale kuacha matiti wazi, kuvaa vinguo vifupi vifupi, kuvaa masuruali na maskin tight ya ajabu ajabu tu!
Naombeni tuache ujinga, upumbavu na ulimbukeni za kisenge senge! Pumbavu...!!!
Dah! greti thinka hapa ana hasira kweli kweli!Hata mimi nawashangaa sana!
Hivi watanzania nani ameturoga jamani? Tumekuwa na tabia ya kuiga mambo ya ovyo ovyo tu kutoka kwa wenzetu!
Wasichana ndo wale wale kuacha matiti wazi, kuvaa vinguo vifupi vifupi, kuvaa masuruali na maskin tight ya ajabu ajabu tu!
Naombeni tuache ujinga, upumbavu na ulimbukeni za kisenge senge! Pumbavu...!!!
Yani mpaka niseme kwa sauti!?!Haya NAPENDA KUKUANGALIA WEWE...Dah! hiyo red imenipandisha mzuka nimevunja redio kwa kuluka luka, miss u more honey! natafta hela ya mahari tu! nitalejea.
Fafanua unapenda kuangalia nini? movies? mijadala? chabo? porno?
Yani mpaka niseme kwa sauti!?!Haya NAPENDA KUKUANGALIA WEWE...

sijaelewa kwa nini mnakwazika

na skinny jeans za kike.....
Kama hawana pesa ya kununua boxer?!Embu waache na wao waonyeshe walichopewa!!!
Sure!!!Kwani kuna ubaya?!Are you serious?
Mimi nikiambiwa maneno kama haya mara nachakachua sredi!
wamekuskia dada! wale wanaoleta viPM vyao vya kujipendekeza nadhani wataona hii post yako na kustop.
acha nibook hotel johanezbag.
Hahaha AD aamua kufunguka! Jamani hebu waacheni ndo umri wao hu! Besides wao hawajui cha brief wala series and they are not meant to matured people like you wajameni, wana audience yao ambayo inaelewa na wanaongea lugha moja!!!
Na si wanasema mtu ukiruka stage lazima utairejea baadae? Waacheni wakue pasipokuvuka stage bana wasijeziapply at their late 40's LOL

Personally,as a man,ningependa wanawake wasingevaa nguo kabisa...ila hiyo ingeudhi baadhi ya watu.Ndio maana wengine tunafagilia sana strip clubs.
Nilikuwa nachangia kuhusu low cut when it comes to women clothing(naona ndio mlikokuwa mnaelekea).Some contributors wali comment kuhusu wanawake na kujisetiri.Some like it,some dont.......

Duhhhhhhhhhhh
Natafuta connection ya thread
Na ulichosema .......

Nilikuwa nachangia kuhusu low cut when it comes to women clothing(naona ndio mlikokuwa mnaelekea).Some contributors wali comment kuhusu wanawake na kujisetiri.Some like it,some dont.......

Thats why I said I don't mind if a woman dresses too sexy!,cos i,m a regular to strip clubs(a lot of men are),

Just keeping it real,didn' mean to ruin your topic.