Hao watakuwa wamevaa sexy,lingeries zinaweza kuwa kama min dress,silky clothes or just G-sting.It depends on a dude,traditional guys like a woman who will give u a tease and leave you imagining what she has inside that dress.

I am a liberal,anything goes kiunda guy,and I prefer to see as much as I can as long as she is cool with it.

So,thats why nadhani just a G-string is the sexiest way of dressing.
I know,lol........

Damn ..
Hili ni janga la dunia....Natumaini hamjambo wote ...
Wanaume sana sana Vijana
naombeni sana jamani muanze kuvuta suruali zenu juu
au kama mmeamua kulegeza au kuto kufunga mikanda
vaeni Boxes , sagz au Briefs.. ...
Sagz
inaniudhi sana kuona mwanaume/ kijana
amevaaa suruali kavuta chini c mpaka miraba ya ****
inaonekana ... vaeni vitu vya maana ndani kama mmnataka
kuvuta hizo suruali chini ...
Asanteeni
Ukiwa na mwili uliojipanga (sio bonge suruali inavutika pale kati) very hot!!!Sikumbuki mara ya mwisho lini nilivaa jeans!!! even though bado ni kijana hata 27 sijafikisha!
maybe kutokana na mazingira ya kazi yangu hospitalini.. ila napenda sana kutoka Formal ....
something like this ....
<img src="http://images04.olx.in/ui/5/04/60/1273148196_91980460_1-Pictures-of--Corporate-Wear-Doctors-Apron-Safety-Jacket-and-T-Shirt-1273148196.jpg" border="0" alt=""

asante ila ningeomba
tubaki ndani ya mada
na kama mnataka kuongelea kuhusu kina
dada muanzishe thread nyingine
asanteni...
ndo hivyo hivyo ilivyo..
ukitaka kuchukua kama tangazo
hivyo hivyo..
au ukitaka kuona au kelewa
ninachotaka kusema ndivyo
ilivyo pia......

Ukiwa na mwili uliojipanga (sio bonge suruali inavutika pale kati) very hot!!!
Mamii afrodenzi, nimekukubali-big up!
Hebu niambie hapa uswahilini ziko wapi nimpeleke kijana wangu -nijisalimishe, maana najua anazitamani lakini anaogopa kiboko na kama sio uswahilini tujuze umezitoa wapi picha hizo nimuonyeshe online kama atazitaka
Ayayayayaaaa.....ukikutana na wa hivo mbona utachukia suruali ya kitambaa?!!! Inajilundika pale kati afu chini inakuwa njiwa sasa.
Sijui ni mmomonyoko wa maadili au ndio kwenda na wakati, tusipokuwa makini wanetu watakuwa hawana tofauti kati ya me na ke. ukizingatia maziwa yanakuzwa na mayai ya kisasa, halafu kata kei wote wanavaa. Mola atuepushie balaa hili jamani!!!
Sijui ni mmomonyoko wa maadili au ndio kwenda na wakati, tusipokuwa makini wanetu watakuwa hawana tofauti kati ya me na ke. ukizingatia maziwa yanakuzwa na mayai ya kisasa, halafu kata kei wote wanavaa. Mola atuepushie balaa hili jamani!!!
mmmh acha fix kwanza locastion mi hoiSikumbuki mara ya mwisho lini nilivaa jeans!!! even though bado ni kijana hata 27 sijafikisha!
maybe kutokana na mazingira ya kazi yangu hospitalini.. ila napenda sana kutoka Formal ....
something like this ....