ase wwadau niwatonye ...........historia inaonyesha waliozindua walikuwa watumwa waukutu wakisha chapwa fimbo hivo walivaa milegezo kuvipa vidonda hewa ..kina 2 pac walivaa ishara ya kutosahau walikotoka hata hivo wajanja waliacha mashoga walipoiga
kama usemayo ni kweli
basi kazi ipo..
lakini kila kitu siku hizi ni fashion ..
neno "Nigger" lilikuwa linatumiwa kipendi kile kwa watumwa...
lakini sasa mmmhh sikiliza rap music...
mmmh acha fix kwanza locastion mi hoi
<br />Unajua mara nyingi hawa vijana wa kiume utakuta kifikra wape marekani na kimwili wapo tz. issue inakuja wakati wa kuunganisha umarekani na utanzania. Na inaposhindikana kuunganisha hizo gap ndo kukata tamaa ya maisha na kujihusisha na mambo mbalimbali yaliyo kinyume na maadili ya jamii. Pia wapo wanaofanya kwa kufuata mkumbo.<br />
lakini mbona dadangu Afrodezzi hazungumzii kuhusu wadada wanaovaa bikini na kushusha suruali kimtindo na wakati huonyesha kwa mbali mifereji ya.....?
Hahahaaaa hapo chachaaaumejuaje hawajavaa chupi ndani ya jeans ??
To all you guys who "sag" your pants and show your butt and underwear....did you know it originated in prison? It was a signal to the other MEN that you are "available". So if you wanna keep going around looking like your "available" for another dude to "tap that"... then keep thinking your cool while I think you look like a Fool!!! BTW they call it PBS (Prison Bitch Syndrome) 🙂 repost if u think this is funny!!!...AND PULL UP YOUR DAMN PANTS
Wapendwa nimeifuma mahali hii nikaona sio vibaya kuja kushare nanyi, nilitaka kuanzisha thread but nikakumbuka mpendwa afrodezi alishaleta kwetu haya toeni mawazo juu ya hii post
mwe...........umejuaje hawajavaa chupi ndani ya jeans ??
hata uvae unayopenda ila usiweke chupi juu au??Nothing wrong with saggin your pants as long as the t-shirt covers below the beltline.Kuhusu u-gay,thats not true.Wazungu wanachukia sana blacks waki sag (au wazungu wengine).
It started in jail because you are not allowed to wear a belt in most jails(suicide as a noose or a weapon during riots).For your information,gays ndio wanapenda kuvaa tights,hata ukivaa jeans tight vijana wengi wanakuona si rizki(I'm talikng about US).I agree we don't need to show off our boxers but men sag in US and is never considered gay...it's actually the opposite.
Nikivaa suruali za vitambaa laini najiona kama niko uchi...just ain't right.