Makenya Member Joined Jan 20, 2011 Posts 33 Reaction score 3 Oct 27, 2013 #1 Wana JF hawa vijana wa BSS, wanaimba live vizuri sana, na sauti zao zinatoka vizuri, kuliko wale Mastaa wa Fiesta, wanaombia kwa kutumia playback.
Wana JF hawa vijana wa BSS, wanaimba live vizuri sana, na sauti zao zinatoka vizuri, kuliko wale Mastaa wa Fiesta, wanaombia kwa kutumia playback.
M malezu Member Joined Oct 26, 2013 Posts 73 Reaction score 19 Oct 27, 2013 #2 Kweli mkuu hawa vijana wa playback muziki wake ni wa vyombo tu
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,687 Oct 27, 2013 #3 nasikia yule mshindi wa mwaka jana alikuwepo
ChickMagnet JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 2,676 Reaction score 3,451 Oct 29, 2013 #4 Mastaa wa Fiesta au Wanamuziki wa Tanzania? Wale wamealikwa tuu kufanya show ,sio wasanii wao