πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Vijana wa CCM mnafurahisha sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Watafikiliwa ata ukatibu tarafa tu 2020 [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unatakaje sasa?
Hapa kazi tu, uongozi unaoacha alama
.
Niko hospital ya wilaya Nzera ni balaa Magu kaza bhabha
 
Wajinga wajinga kama Baba yao wa magogoni,
Ajira, nyogenza ya mishahara hakuna jitu linakuja na kauli za "tumenunua Ndege" sijui huwa yanawaza nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…