Vijana wa ccm wazomewa baada ya kuvaa sare za chama UDOM

Vijana wa ccm wazomewa baada ya kuvaa sare za chama UDOM

nyopa84

Member
Joined
Jan 22, 2011
Posts
33
Reaction score
2
Ilikuwa ni jambo la aibu na fedhea kubwa pale vijana wanao jipendekeza katika tabaka tawala na ambao elimu yao haijawakomboa hapa UDOM baada ya kuzomewa kwa sauti kubwa zikisindikizwa na ma vuvuzela hivyo kuwafanya kuvua jezi hizo na kuficha kwenye mabegi na kwenda kuvalia mbele ya safari. Vlevle jana ucku gari la matangazo la ccm lilipigwa mawe lilipo fika kutangaza. ALUTA...........!!!!!
 
safi sana! NIMEHUZUNIKA SANA LEO NIMEONA MAGARI DCM ZIKIELEKEA SEGEREA NA MIJITU MIZIMA NA SARE ZA KIDUMU CHAMA CHETU!
 
Safi sana vijana wenzetu, pinga wanafki kwa vitendo,chukia ccm kama ukoma.
 
Nimependa sana. People's power!! Mwisho wa siku watu watajua nin pumba na upi mchele.
 
Au wenyewe mambo safi mkopo 100%;( ila hilo ni somo kwao na wanaowatumia
 
Je CCM kuzomewa ni watu wameichoka ama hawaihitaji? Kwani leo imebidi watembee umbali wa zaidi ya nusu saa kufuata basi baada ya wanafunzi kulizuia na kuliamuru liondoke na kuwafanya wale wachache vijana wa CCM uku wakizomewa wakilifuata ilo basi ili wapande.
 
Tena hao ndio huwa wanatoa matamko ya ajabu ajabu halafu wanainclude Udom yote. Wanastahili bakora, nawasilisha kwa wanyantuzu wote.
 
very good!! hawa ccm ni wanafik sana hawana uzalendo kabisaa!!
 
.....AIBU YAO AIBU YETU!!!????? maskini inasikitisha sana kwamba hadi leo bado kuna vijana 'wasomi' wanaamini life haliendi bila kujikomba kwa CCM!!!! i wish angedundwa kisawa sawa japo mmoja wa hao 'wajingawajinga' wa njano na kijani.
 
Jambo zuri wangezikamata na kuzichanachana, hao ni wasomi au ng'ombe? Watu kila cku mnagoma leo mnatoka na mi-tshirt yenu, au mnafuata kula. Njaa ya cku moja inakufanya unadhalilisha uu wako?
 
WEWEEEEEEEEEEE! MDUNDIKO UPO WAPIIIIIIIIIIIIII1 :msela::msela::msela:MKWERE ACHIA MCHUMO HUO UMEKUSHINDA....
 
Du walifika salama Uwanjani kama mabango yao yanavyoonesha UDOM
 
Back
Top Bottom