JESHILAMILAMBO
Member
- Dec 12, 2014
- 80
- 21
Juliana Shonza
Ongera sana kwa kulitambua ilo na karibu kwenye jumuia ya vijana makini wenye oja ambao siyo kurumbana kwa matusi.
Nakumbushia tuu jinsi ninavyopenda mrembo huyu!.Mimi sii wa kwanza, si mnawaona wenzangu hawa!.
Mkuu Juliana Shonza, with due respect, mimi nimetokea kukuzimikia kwa jinsi ulivyo!, your , and intelligence innocent look, just kills me!, ulichoandika hapa ni facts kuhusu tatizo la ajira kwa vijana, na sio tuu kwa vijana wa Chadema, bali ni vijana wa taifa la Tanzania, katika ujumla wao!, ila ulichoandika hapa if your not posing as 'an agent provocateur', then you are a "macho woman!", usiiharibu hiyo inteligence and innocent look of your face, with such ----, hadi kupelekea, hata wale wasiojua kuwa degree yako ni moja ya zile degree za chu.., sasa wajue!!.
Anayekuambia ukweli, ndiye anayekupenda kwa that!,
I still believe you can do better that this!.
Pasco!.
Tangu nimejiunga ndani ya CCM, nimepata fursa ya kufanya tafiti na kugundua tofauti kubwa sana kati ya viongozi, wanachama na hasa vijana ndani ya CCM na wale wanaotoka vyama vya upinzani, vikiongozwa na CHADEMA.
Lakini hali hii inatokana na mfumo wa Chama Cha Mapinduzi ambao umejikita katika malezi na mafunzo kwa vijana wake kupitia jumuiya yake ya vijana (UVCCM) ambayo imejibainisha kuwa ni tanuru la kuoka viongozi wa chama na Serikali.
Kitu cha kipaumbele ktk uongozi na shabaha ya UVCCM ni kuongeza maarifa kwa vijana wa chama. Vijana wengi wameendelezwa kielimu (kwa fedha ya jumuiya) katika vyuo vikuu mbalimbali, jambo ambalo vyama vya upinzani hawafanyi, hawana mfumo wa ku-groom vijana wao na badala yake vijana wamekuwa wakijiongoza wenyewe na hivyo kupoteana.
lakini pia, Vijana wa UVCCM wana matumaini zaidi kuliko Vijana wa Chadema na wapinzani wengine, leo vijana wa Chadema na Wapinzani wanatamani wangekuwa CCM ili wanufaike na fursa za kupata maarifa na kujengewa uwezo, ndio maana akina Yericko Nyerere, Ben Saanane na wengineo wanafanya kazi za wagombea wa CCM kwa kuwa wamepoteza matumaini na viongozi wao kwenye vyama vyao.
Uwezo mdogo wa vijana wa chadema unajidhihirisha kwenye CV zao, kwani wengi ni mangumbaro wasio na elimu ya kutosha, lakini pia maneno wanayoandika kila kukicha katika jukwaa hili yanadhihirisha uwezo wao mdogo, thread za akina Henry Kileo, Tumaini Makene etc zinawavua nguo vijana wa Chadema.
USHAURI.
VIJANA wa vyama vya upinzani jiongezeni, mnalalamika hamna ajira wakati elimu ya kuunga unga, mnafikiri mtapata kazi kwa kuandamana..? Ongezeni maarifa ili muweze kuajirika, sio mnakesha kwenye ma-movement yasiyo na tija halafu mnategemea maisha bora.
ligera sijapenda kwa jinsi ulivyoandika hivi kumhusu huyu dadaJuliana Shonza, kwa sababu sisi wengine wetu humu, sio tuu, tunampenda, bali tumemzimikia kabisa!, mfano mimi, limoyo langu lote limemdondokea!, hii type yake ndio ugonjwa wangu!.
Ila pia kwa kukusaidia tuu katika kuelimishana, matumizi ya kiungo kile, hakifuati kanuni ya fizikia ya matumizi ya mashine, au injini ya wear and tear, mashine ile inafuata kanuni ya kibaiolojia ya viungo vya viumbe hai, ya practice makes perfect, the more you use them, the better they becomes!, hivyo kwa kadri kinavyotumika zaidi na zaidi, it becames better, sweeter and more tasty!, ndio maana hata wale wadada zetu, wanaofanya biashara ile iliotukuka!, wanakolea zaidi kuliko wale waliojituliza majumbani, aliouza bidhaa yao kwa bei ya jumla kwa mteja mmoja tuu kwa jina la ndoa!, na ndio maana wateja wakuu, ni wenye ndoa zao!, na wengi wao hufurika kupata kwanza huduma zao, na kisha ndipo wanakwenda majumbani mwao kumalizia kwa wake zao!, hivyo kama ni kweli huyu dada Juliana Shonza, ni muachiaji mzuri, taarifa hii ndio kwanza inazidi kunichanganya kunifanya nichanganyikiwe zaidi juu yake na kuzidi kumpenda!.
Pasco
Tangu nimejiunga ndani ya CCM, nimepata fursa ya kufanya tafiti na kugundua tofauti kubwa sana kati ya viongozi, wanachama na hasa vijana ndani ya CCM na wale wanaotoka vyama vya upinzani, vikiongozwa na CHADEMA.
Lakini hali hii inatokana na mfumo wa Chama Cha Mapinduzi ambao umejikita katika malezi na mafunzo kwa vijana wake kupitia jumuiya yake ya vijana (UVCCM) ambayo imejibainisha kuwa ni tanuru la kuoka viongozi wa chama na Serikali.
Kitu cha kipaumbele ktk uongozi na shabaha ya UVCCM ni kuongeza maarifa kwa vijana wa chama. Vijana wengi wameendelezwa kielimu (kwa fedha ya jumuiya) katika vyuo vikuu mbalimbali, jambo ambalo vyama vya upinzani hawafanyi, hawana mfumo wa ku-groom vijana wao na badala yake vijana wamekuwa wakijiongoza wenyewe na hivyo kupoteana.
lakini pia, Vijana wa UVCCM wana matumaini zaidi kuliko Vijana wa Chadema na wapinzani wengine, leo vijana wa Chadema na Wapinzani wanatamani wangekuwa CCM ili wanufaike na fursa za kupata maarifa na kujengewa uwezo, ndio maana akina Yericko Nyerere, Ben Saanane na wengineo wanafanya kazi za wagombea wa CCM kwa kuwa wamepoteza matumaini na viongozi wao kwenye vyama vyao.
Uwezo mdogo wa vijana wa chadema unajidhihirisha kwenye CV zao, kwani wengi ni mangumbaro wasio na elimu ya kutosha, lakini pia maneno wanayoandika kila kukicha katika jukwaa hili yanadhihirisha uwezo wao mdogo, thread za akina Henry Kileo, Tumaini Makene etc zinawavua nguo vijana wa Chadema.
USHAURI.
VIJANA wa vyama vya upinzani jiongezeni, mnalalamika hamna ajira wakati elimu ya kuunga unga, mnafikiri mtapata kazi kwa kuandamana..? Ongezeni maarifa ili muweze kuajirika, sio mnakesha kwenye ma-movement yasiyo na tija halafu mnategemea maisha bora.
Tangu nimejiunga ndani ya CCM, nimepata fursa ya kufanya tafiti na kugundua tofauti kubwa sana kati ya viongozi, wanachama na hasa vijana ndani ya CCM na wale wanaotoka vyama vya upinzani, vikiongozwa na CHADEMA.
Lakini hali hii inatokana na mfumo wa Chama Cha Mapinduzi ambao umejikita katika malezi na mafunzo kwa vijana wake kupitia jumuiya yake ya vijana (UVCCM) ambayo imejibainisha kuwa ni tanuru la kuoka viongozi wa chama na Serikali.
Kitu cha kipaumbele ktk uongozi na shabaha ya UVCCM ni kuongeza maarifa kwa vijana wa chama. Vijana wengi wameendelezwa kielimu (kwa fedha ya jumuiya) katika vyuo vikuu mbalimbali, jambo ambalo vyama vya upinzani hawafanyi, hawana mfumo wa ku-groom vijana wao na badala yake vijana wamekuwa wakijiongoza wenyewe na hivyo kupoteana.
lakini pia, Vijana wa UVCCM wana matumaini zaidi kuliko Vijana wa Chadema na wapinzani wengine, leo vijana wa Chadema na Wapinzani wanatamani wangekuwa CCM ili wanufaike na fursa za kupata maarifa na kujengewa uwezo, ndio maana akina Yericko Nyerere, Ben Saanane na wengineo wanafanya kazi za wagombea wa CCM kwa kuwa wamepoteza matumaini na viongozi wao kwenye vyama vyao.
Uwezo mdogo wa vijana wa chadema unajidhihirisha kwenye CV zao, kwani wengi ni mangumbaro wasio na elimu ya kutosha, lakini pia maneno wanayoandika kila kukicha katika jukwaa hili yanadhihirisha uwezo wao mdogo, thread za akina Henry Kileo, Tumaini Makene etc zinawavua nguo vijana wa Chadema.
USHAURI.
VIJANA wa vyama vya upinzani jiongezeni, mnalalamika hamna ajira wakati elimu ya kuunga unga, mnafikiri mtapata kazi kwa kuandamana..? Ongezeni maarifa ili muweze kuajirika, sio mnakesha kwenye ma-movement yasiyo na tija halafu mnategemea maisha bora.
Tangu nimejiunga ndani ya CCM, nimepata fursa ya kufanya tafiti na kugundua tofauti kubwa sana kati ya viongozi, wanachama na hasa vijana ndani ya CCM na wale wanaotoka vyama vya upinzani, vikiongozwa na CHADEMA.
Lakini hali hii inatokana na mfumo wa Chama Cha Mapinduzi ambao umejikita katika malezi na mafunzo kwa vijana wake kupitia jumuiya yake ya vijana (UVCCM) ambayo imejibainisha kuwa ni tanuru la kuoka viongozi wa chama na Serikali.
Kitu cha kipaumbele ktk uongozi na shabaha ya UVCCM ni kuongeza maarifa kwa vijana wa chama. Vijana wengi wameendelezwa kielimu (kwa fedha ya jumuiya) katika vyuo vikuu mbalimbali, jambo ambalo vyama vya upinzani hawafanyi, hawana mfumo wa ku-groom vijana wao na badala yake vijana wamekuwa wakijiongoza wenyewe na hivyo kupoteana.
lakini pia, Vijana wa UVCCM wana matumaini zaidi kuliko Vijana wa Chadema na wapinzani wengine, leo vijana wa Chadema na Wapinzani wanatamani wangekuwa CCM ili wanufaike na fursa za kupata maarifa na kujengewa uwezo, ndio maana akina Yericko Nyerere, Ben Saanane na wengineo wanafanya kazi za wagombea wa CCM kwa kuwa wamepoteza matumaini na viongozi wao kwenye vyama vyao.
Uwezo mdogo wa vijana wa chadema unajidhihirisha kwenye CV zao, kwani wengi ni mangumbaro wasio na elimu ya kutosha, lakini pia maneno wanayoandika kila kukicha katika jukwaa hili yanadhihirisha uwezo wao mdogo, thread za akina Henry Kileo, Tumaini Makene etc zinawavua nguo vijana wa Chadema.
USHAURI.
VIJANA wa vyama vya upinzani jiongezeni, mnalalamika hamna ajira wakati elimu ya kuunga unga, mnafikiri mtapata kazi kwa kuandamana..? Ongezeni maarifa ili muweze kuajirika, sio mnakesha kwenye ma-movement yasiyo na tija halafu mnategemea maisha bora.
Nashukuru kwa kumtaka Ligera kuacha kutumia lugha kali dhidi yangu, lakini naomba nikutoe shaka kuwa ligera ni kama BAVICHA wengine wamejengwa kwenye kuamini matusi, maandamano na kejeli..na hivyo maneno yako hayatamsaidia hata ingelikuwaje..
Kuhusu MAHABA uliyonayo kwangu, nadhani umechelewa tu kuyadhihirisha lakini nitumie lugha ya kigeni, i real appreciate it...lakini napata wakati mgumu sana juu ya kinachozungumzwa nyuma ya pazia dhidi yako..
Wengine inatuwea vigumu kuamini lakini waswahili wanasema lisemwalo lipo, wenzako wananong'ona ukiwa haupo kwamba eti wewe ni mfuasi wa Cameroon..mie binafsi napata mashaka kuwa minong'ono hii ina ukweli wowote ila ndio hivyo ndugu, waswahili hawa ukiona wananong'ona basi walishajaribu na kufanikiwa...
J
Asante sana kwa somo zuri, ifike wakati tuache kuishi kwa kufuata uongo badala ya ukweli. CCM ni chama kinachofuata misingi ya ukweli na uadilifu