Vijana wa CHADEMA wana uwezo mdogo sana

John Pombe Magufuli anasema:-
Aliyekua Rais wa Libya - Saddam Hussein
Rais wa Kuwait - Saddam Hussein
 
Umeandika ukweli mtupu Juliana Shonza. Wengi wa hawa vijana wa CHADEMA ni vurugu tupu ndio imewajaa akilini. Wanafikiri Lowassa atawaletea kazi bila ya wao kujishughulisha. Mbaya zaidi mtu wanayemtegemea atakatwa na wananchi tarehe 25.
 

Hii nondo ilinipitaje??
 

Kazi waliyo nayo sshv ni kuandamana na ndio imesha kuwa dili kwao ila tunajua tunandamana bure huku mioyoni mwetu still ccm ikimbiza mbaya
 
Kwanza hizo tathmini ni za kitoto kufananisha ccm na chadema huwezi kwa sababu ccm wana vitegauchumi walizopora baada na hivyo kuwa na uwezo wakuhadaa vijana wachache,
Lakini yule lofa mnaowakejeli amejuwa nyumbani kwake panaibiwa na hao waliosoma bila kuelimika mikataba mibovu mpaka nyingi wanaenda nayo nje kwenda kusaini na kupitisha hizo sheria mbovu za mafuta inafika mwisho,nafuu kuwa na watu wasio na elimu kuliko kuwa na wenye elimu ambao hawajaelima halafu majizi. CCM imepikwa kwa misingi ya wizi kwanzia kuiba nyumba na viwanda vya watu na kuandika msajili wa majumba na walivyo kosa ya kuiba sasa rasilimali zetu next.
 
Nadhan na ww pia unaelimu ya kuunga unga badala hiyo elimu itolew kwa manufaa ya vijana wote wa kitanzani aliye na asiye na chama ww eti unafurahia hii ni hatari "watanzania 2naangamia kwa kukosa maarifa"
 
UKATA huo umesababishwa na ninyi.Uwezo mdogo wa kufikiri pia mmeusababisha nyie MACCM.
 
sio kosa lao Juliana. wenye elimu iliyokaa sawa na wenye uwezo wako makazini - kuajiriwa, binafsi na vitu kama hivyo. wenzangu hao wameona nao chochoro la siasa. wengine wanatokeaga humuhumu. wakishika nafasi ndo watakuwa wanaongoza wenye elimu zao za maana.

wenyewe nao hii ni kazi kama zingine tu.

ukawa/ chadema ikilamba ikulu hawawezi kosa ukuu wa mikoa, wilaya, ubalozi na nafasi kama hizo. halafu watajipanga wakae madarakani kwa miaka kama 10 - 20 hivi. akitoka hapo shavu hilo. mambo safi. mungu akupe nini tena, donda? hapana

lakini binafsi naona inapendeza kuwa na watu/ wanasiasa ambao zaidi ya siasa kuna shughuli zingine za maana na zinazoeleweka - endelevu pia wanazifanya. kama wako hivyo ni sawa.

nawapenda wanasiasa wa mfano wa obama. wanakuwa na taaluma zao lakini pia wako siasani.

hapa bongo tunao kina dr. lipumba, mbowe, dr. mwakyembe, dr. bilali, dr. asha rose migiro, prof. mwandosywa, na wa aina hiyo. maana yangu hapa ni kuwa mtu anazo biashara zake, shughuli zake, au kazi yake ambayo kwenye siasa akifeli atarudi muda wowote kuendelea na kazi au shughuli yake hiyo. hatokufa njaa akitemwa kwenye siasa. hii ni safi sana. sio kuifanya siasa ndio ajira na ukikwama huku huna pa kwenda
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli nchi yangu TANGANYIKA eti kwa kuwa CCM umeshakuwa na uwezo mkubwa kiasi kwamba ukiwa upinzani unakuwa na uwezo mdogo je ukubwa wa uwezu wako ni kiasi gani.....:wink1:
 
Bahati mbaya sana...hawa ndugu zangu huwa hawasomagi kabisa ushauri. Ila hiyo ndoto wanayoota kuwa CHADEMA itaingia Ikulu haiwezi kutokea mpaka mwisho wa dunia.
 
Maelezo yanajitosheleza.
Wakuelewa kaelewa, ispokua wanajifanya hamnazo.
 
 
pamoja na yote uliyosema vijana wa chadema wako makini katika kupiga kura na kulinda kura hasahasa uchaguzi huu wa tarehe 25
 
Strong people don't give up when they come accross challenges, they just work harder.
 
Wanakupwelepweta bure sio?? Teh teh teh...EDWARD LOWASSA ndiye tutakayempigia kura keshokutwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…