Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,792
Sikusahaulika mkuu ni suala la muda tu hatuwezi Pata wote lazina wengine wapate wengine wakose CCM chama kubwa wakina Mboni na Makonda wanatosha kutuwakilisha vijana.
Kitu cha kipaumbele ktk uongozi na shabaha ya UVCCM ni kuongeza maarifa kwa vijana wa chama. Vijana wengi wameendelezwa kielimu (kwa fedha ya jumuiya) katika vyuo vikuu mbalimbali, jambo ambalo vyama vya upinzani hawafanyi, hawana mfumo wa ku-groom vijana wao na badala yake vijana wamekuwa wakijiongoza wenyewe na hivyo kupoteana.
VIJANA wa vyama vya upinzani jiongezeni, mnalalamika hamna ajira wakati elimu ya kuunga unga, mnafikiri mtapata kazi kwa kuandamana..? Ongezeni maarifa ili muweze kuajirika, sio mnakesha kwenye ma-movement yasiyo na tija halafu mnategemea maisha bora.
Kati ya vijana ninaowadharau nchi hii basi ni Juliana Shonza
CV yangu unaweza kuigoogle tu.,its that international. Ila kwa kifupi ni kuwa nimemzidi kielimu Mwenyekiti wako, Makamu Mwenyekiti wako, Nimemzidi Naibu Katibu Mkuu wako, Nimemzidi Mkurugenzi wako wa Uenezi, Nimemzidi Mkurugenzi wako wa mafunzo, kwa kifupi nimewazidi almost wakurugenzi wenu wote.
Ila hilo ni ni tisa, BAVICHA hakuna hata mmoja mwenye kunifikia kwa CV!
Uwezo mdogo indeed...!!!
CV yangu unaweza kuigoogle tu.,its that international. Ila kwa kifupi ni kuwa nimemzidi kielimu Mwenyekiti wako, Makamu Mwenyekiti wako, Nimemzidi Naibu Katibu Mkuu wako, Nimemzidi Mkurugenzi wako wa Uenezi, Nimemzidi Mkurugenzi wako wa mafunzo, kwa kifupi nimewazidi almost wakurugenzi wenu wote.
Ila hilo ni ni tisa, BAVICHA hakuna hata mmoja mwenye kunifikia kwa CV!
Yeah! muadilifu kama Mbowe aliyewauzia mafuso na maspika mabovu, kujipa tenda ya kufuata pikipiki japan na kutia kibindoni mamilioni na kuipangisha chadema ofisi ambayo ni nyumba ya baba mkwe (Mtei) pale ufipa st, na kwa mahaba na upofu wa wanachadema kwa Mbowe, wanamuona ndio muadilifu kuliko wana ccm! lahaula! hii ni shiida!
mwenzio ashumta sijui mshani yule mbunge wenu wa bukoba bunge la escrow alishindwa kuonesha ushahidi kwa kujazia tu hizo ni dili za ccm toka mwaka 1985 pale alipoanza mzee wa ruksa had sasa mnapiga dili feki kwa pesa za umma hadi nchi haikopesheki tena.
Vijana wenyewe ndiyo kama wewe hata kuansika kwenyewe shughuli! Haya hongereni sana na U-UVCCM wenu.Ongera sana kwa kulitambua ilo na karibu kwenye jumuia ya vijana makini wenye oja ambao siyo kurumbana kwa matusi.
Ben Saanane naomba ujibu hii kashfa uliyotupiwa wewe na chamachako
Binafsi napata wakati mgumu sana ninanavyo ona hoja za msingi kabisa za maendeleo zikijadiliwa (hapa jamii forum); ikishatokea kuwa aliyefanikisha ni mtu wa chama tawala; inadakiwa na hao wanaojiita wapinzani kwa maneno machafu yanayo onesha uwezo mdogo wa kuelwa mambo naya kukatisha tamaa.
Nahisi wanahitaji kubadilika kwani chama cha upinzani, sio maana yake kupinga kila hoja au kutumia muda mwingi kuangalia maisha ya watu binafsi badala ya kuangilia mambo ya msingi yaliyo mbele yetu na namna ya kuyatatua.
Kama upinzani wenyewe ndio huo, ni afadhali zimwi likujualo!!!!