multmandalin
JF-Expert Member
- Sep 8, 2012
- 2,034
- 584
Wengine hatuna vyama humu ndani na nikisoma ulichoandika napata jibu kwanini ulifukuzwa na chadema. University of Dar es salaam ni chuo kikuu cha kwanza kwa ubora Tanzania lakini ni cha 2,475 (usiwe mvivu unaweza ku-google). Hivyo vingine nikikutajia ni vya ngapi unaweza kulia. Je hii ndiyo sifa unayoipigia upatu? Au vyuo hivi vinaongozwa na sera za upinzani?
Tatizo lenu mnafikiri ili uonekane unafanya siasa ni lazima uandamane ukakae jela kidogo au upingwe risasi ufe ndio utajwe kuwa ulikuwa mwanasiasa bora wa upinzani.hasira za kuukosa ukuu wa wilaya! wajanja walifanikiwa kukufuta katika ulimwingu wa siasa ona sasa hata hujui unafanyenini
lakini kama kuna ka ukweli kwenye mada ya huyu dadaDada usipoitaja chàdema huridhiki?
haya mambo kama huyajui usikurupuke mjomba , unakifahamu walichoahidiwa hao kama fadhila ya usaliti ? hatubahatishi mjomba .
Teh! Mkuu huyo huo uwezo wa kuunga atautoa wapi? Kaungishwa huyo! Labda kwa mfano huu nakubaliana na Juliana Shonza kwamba CCM "inawajali" vijana kama ilivyomuungisha Nape toka Div. 0 hadi Masters isiyoeleweka.
Lakini pia ikumbukwe Nape hakuungishwa hivi hivi bali kupitia nyota ya baba na hapo ndipo penye tatizo. Ni wangapi nyota za baba zao zinang'aa humo chamani? Nape ni miongoni mwa elites wanaofaidi keki ya nchi sio kwa sababu wana uwezo sana kupita waTz wengine, la hasha; bali kupitia mfumo dhalimu, wa kitabaka na kujuana. Ni kwa sababu tu alizaliwa na Brig. Mosses Nnauye na sio vinginevyo.
Mkuu familia ya mzee Nnauye haimtambui kama Nape ni mtoto wa marehemu embu soma hili bandiko
hasira za kuukosa ukuu wa wilaya! wajanja walifanikiwa kukufuta katika ulimwingu wa siasa ona sasa hata hujui unafanyenini
Dada, mie unanikosea heshima bhana. Kwani lazima nipate msaada wa kipesa toka CDM ndo nisome? Mathalani, wewe umesomea nini na chama chako kimeshakuendeleza na nini? Taifa linasema ajira hazitoshi kwa vijana sasa hivi, wewe unasema wana shule kidogo, hivi kweli unajua viongozi wa CCM walioko bungeni elimu zao? acha kuchekesha bhana. Angalia CV km, Kamata just one to mention, utajua kuna nini mjengoni kupitia CCM
Likija kutoka bandiko la Mark Mwandosya utamuona huyu jamaa nae akiwemo!Mkuu familia ya mzee Nnauye haimtambui kama Nape ni mtoto wa marehemu embu soma hili bandiko
Kaka wewe ulikuwa katibu wa kuandika ahadi walizopewa akina shonza baada ya kujiunga CCM..?
Lakini hilo ni moja la pili, naomba uniambie USALITI ni nini katika tafsiri yako..? Na kwa tafsiri hiyo Shonza anavaaje tafsir ya usaliti..?
Tangu 2011 umo humu bado hujajua maana ya usaliti ? basi endelea kuzifuatilia thread za zamani utajione usaliti wao na ahadi walizopewa