Juliana Shonza
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,009
- 1,609
- Thread starter
-
- #121
kipimo mbona kipo bayana tu...fanya hivi pitia comments za Bavicha tangu mwanzo wa thread mpaka page ya kumi ilipofikia.Nilitaraji nitakutana na kipimo/vipimo vya uwezo. Kumbe neno "uwezo mdogo" limetumika kama neno la kuudhi tu.
.heshimu kazi ya kichwa mkuu.huyo shonza nafikiri ndoa imeanza kumshinda na kakosa ukuu wa wilaya. sasa anabwabwaja tu maneno ya hovyo hovyo kwa sababu na yeye ni wa hovyo hovyo,na chama lake la kihovyo hovyo.mara ingine wazazi wanazaa halafu wanajuta kuwa na watoto wa aina fulani fulani.pole mzee shonza.ulikosea kumpa laana mapema huyu mchumia tumbo shonzaBen Saanane naomba ujibu hii kashfa uliyotupiwa wewe na chamachako
unanichekesha sana.naona unajisifu kuwa umesoma na una akili nyingi.interesting binti!!!!!ningefurahi kama uwezo huo ungeuonyesha hapa kwa kujenga hoja na si bla bla tu!!!tumia akili unazojisifu kuwa nazo kujenga hoja,hivi uliyoandika hapa wewe unajilinganisha na mbowe??????mbowe anaweza kweli kuzungumza vitu hopeless kama hivi kweli??????what an insult!!!!!!poor girl.hauna akili yenye kuweza kupambanua uwezo wa mtu, sikushangai.
Mngekuwa na uwezo ama akili hiyo msingechukua disco joker kuwa m/kiti wenu na kumfanya kiumbe kilichomsaliti mungu kuwa ndio mtendaji mkuu wa chama chenu.
Hivi Zitto ambae ameibua kashfa ya Buzwagi na Escrow na madudu mengine y Serikali ni Kijana wa Chadema..???Hebu Juliana atueleze, kwa mfano, pale bungeni vijana gani wa CCM ambao wana uwezo wa kujenga hoja na kuziwasilisha kwa umahiri ukilinganisha na vijana kutoka upinzani, k.m Zitto, Mnyika, Kafulila, Halima Mdee n.k? Kama wana uwezo mdogo, ilikuwaje suala la mgodi wa Buzwagi lililowasilishwa na Zitto ndiyo lilikuwa chumbuko la mageuzi ya seka ya madini hapa nchini? Au umesahau kuwa suala la mabilioni ya Uswisi limeibuliwa na mmoja wa hao vijana unaodai kuwa wana uwezo mdogo? Labda nikukumbushe pia - japo ni suala ambalo halina hata zaidi ya miezi 2 - kuwa scandal ya Tegeta Escrow limeibuliwa na David Kafulila - kijana shupavu kutoka upinzani. Hivi Juliana unatumia vigezo gani vya kupima uwezo wa hao vijana. Ninakupa challenge - hebu tueleze hata kijana mmoja tu kutoka CCM ambaye ameleta suala linalotambulika (recognizable contribution) kwa uzito wake bungeni.
Hata Babu wa Keys, Jipapa ndani ya chadema alishakuwa kambi ya Lowassa zamani sana, itakuwa wewe kidagaa? umesahau?
Hauna akili yenye kuweza kupambanua uwezo wa mtu, sikushangai.
mngekuwa na uwezo ama akili hiyo msingechukua Disco Joker kuwa M/kiti wenu na kumfanya kiumbe kilichomsaliti Mungu kuwa ndio mtendaji mkuu wa Chama chenu.
Mkuu Chakaza, maneno ya busara sana haya!, kama she has at least some little sense still left in her big empty head!, atakusikia!, lakini kama ni completely empty, yaani ni debe tupu!, then you are wasting your time!, huku ni kumpigia mbuzi gitaa!.Huyo unayemuita Disco joker na huyo kiumbe msaliti kama unavyomwita, kwani hawakuwepo wakati wewe unatafuta cheo huko Chadema? Kwa nini usijitoe mpaka usubiri kufukuzwa? Wewe unaujua usaliti kwa Mungu mpaka unawaita wengine kiumbe kilichomsaliti?
Nikuambie kitu binti, acha kuchulia maisha yako maana bado mdogo sana kiumri,kiakili,uelewa na hata busara. Wenzio unaoona wamefanikiwa katika fani walizoamua kujiingiza walitumia ethics za taaluma husika kufika hapo walipo sio kama ufanyavyo wewe.
Kuwatukana waliokuzidi kila upatapo nafasi mitandaoni wakati watu hao Mwenyekiti wako JK na viongozi wengine wanaokuweka hapo ulipo wanawaheshimu sana ni dalili mbaya sana huko uendako.
Lingine, kumbuka sasa wewe ni mke wa mtu hivyo lete hoja sizizo na matusi maana watu wata kuattack in revenge na wakati mwingine wakimuhusisha mumeo au maisha yako binafsi ya sasa na kabla ya kuolewa. Unadhani mumeo hata awe ---- kiasi gani atakuwa anafurahishwa na mambo hayo?
Kumbuka wewe ni verfied user hivyo personal attack zako zinaenda zaidi ya mtandaoni,hebu ona wenzako walio verfied wanavyo jiepusha na tabia kama zako. Hicho ndio kipimo cha akili na weledi wa mtu.
kipimo mbona kipo bayana tu...fanya hivi pitia comments za Bavicha tangu mwanzo wa thread mpaka page ya kumi ilipofikia.
Mkuu Chakaza, maneno ya busara sana haya!, kama she has at least some little sense still left in her big empty head!, atakusikia!, lakini kama ni completely empty, yaani ni debe tupu!, then you are wasting your time!, huku ni kumpigia mbuzi gitaa!.
Pasco.
Hivi kwanini midume mizima mpo hapa kumtisha bint wa watu kisa kawaambia kweli..,tatizo la uwezo mdogo mlionao halitakwisha kwa matusi na kumtisha mtu kuwa wewe ni Verified User..,mara hizo personal attack zitamletea shida.,shida ya nini..? kuambiwa mna uwezo mdogo ni personal attack..,acheni ujinga..jully wabomoe tu...!!!Huyo unayemuita Disco joker na huyo kiumbe msaliti kama unavyomwita, kwani hawakuwepo wakati wewe unatafuta cheo huko Chadema? Kwa nini usijitoe mpaka usubiri kufukuzwa? Wewe unaujua usaliti kwa Mungu mpaka unawaita wengine kiumbe kilichomsaliti?
Nikuambie kitu binti, acha kuchulia maisha yako maana bado mdogo sana kiumri,kiakili,uelewa na hata busara. Wenzio unaoona wamefanikiwa katika fani walizoamua kujiingiza walitumia ethics za taaluma husika kufika hapo walipo sio kama ufanyavyo wewe.
Kuwatukana waliokuzidi kila upatapo nafasi mitandaoni wakati watu hao Mwenyekiti wako JK na viongozi wengine wanaokuweka hapo ulipo wanawaheshimu sana ni dalili mbaya sana huko uendako.
Lingine, kumbuka sasa wewe ni mke wa mtu hivyo lete hoja sizizo na matusi maana watu wata kuattack in revenge na wakati mwingine wakimuhusisha mumeo au maisha yako binafsi ya sasa na kabla ya kuolewa. Unadhani mumeo hata awe ---- kiasi gani atakuwa anafurahishwa na mambo hayo?
Kumbuka wewe ni verfied user hivyo personal attack zako zinaenda zaidi ya mtandaoni,hebu ona wenzako walio verfied wanavyo jiepusha na tabia kama zako. Hicho ndio kipimo cha akili na weledi wa mtu.
Tangu nimejiunga ndani ya CCM, nimepata fursa ya kufanya tafiti na kugundua tofauti kubwa sana kati ya viongozi, wanachama na hasa vijana ndani ya CCM na wale wanaotoka vyama vya upinzani, vikiongozwa na CHADEMA.
Lakini hali hii inatokana na mfumo wa Chama Cha Mapinduzi ambao umejikita katika malezi na mafunzo kwa vijana wake kupitia jumuiya yake ya vijana (UVCCM) ambayo imejibainisha kuwa ni tanuru la kuoka viongozi wa chama na Serikali.
Kitu cha kipaumbele ktk uongozi na shabaha ya UVCCM ni kuongeza maarifa kwa vijana wa chama. Vijana wengi wameendelezwa kielimu (kwa fedha ya jumuiya) katika vyuo vikuu mbalimbali, jambo ambalo vyama vya upinzani hawafanyi, hawana mfumo wa ku-groom vijana wao na badala yake vijana wamekuwa wakijiongoza wenyewe na hivyo kupoteana.
lakini pia, Vijana wa UVCCM wana matumaini zaidi kuliko Vijana wa Chadema na wapinzani wengine, leo vijana wa Chadema na Wapinzani wanatamani wangekuwa CCM ili wanufaike na fursa za kupata maarifa na kujengewa uwezo, ndio maana akina Yericko Nyerere, Ben Saanane na wengineo wanafanya kazi za wagombea wa CCM kwa kuwa wamepoteza matumaini na viongozi wao kwenye vyama vyao.
Uwezo mdogo wa vijana wa chadema unajidhihirisha kwenye CV zao, kwani wengi ni mangumbaro wasio na elimu ya kutosha, lakini pia maneno wanayoandika kila kukicha katika jukwaa hili yanadhihirisha uwezo wao mdogo, thread za akina Henry Kileo, Tumaini Makene etc zinawavua nguo vijana wa Chadema.
USHAURI.
VIJANA wa vyama vya upinzani jiongezeni, mnalalamika hamna ajira wakati elimu ya kuunga unga, mnafikiri mtapata kazi kwa kuandamana..? Ongezeni maarifa ili muweze kuajirika, sio mnakesha kwenye ma-movement yasiyo na tija halafu mnategemea maisha bora.

Ungemsoma Pasco katika post #210 ungejitofautisha kidogo. Lakini kama alivyosema, kumpigia gitaa mbuzi ni kupoteza muda na nguvu zako bure. Jee wewe ni mbuzi pia?
Personal attack nilizosema ni matusi yake kwa Dr Slaa na mkewe pia kwa Mbowe. Hayo ya vijana wa Chadema kuwa na uwezo mdogo wa akili mbona ya kawaida na yanajadilika na sio matusi hata kidogo.
Umewaudhi BAVICHA kuwaambia wana uwezo mdogo