Vijana wa CHADEMA wana uwezo mdogo sana

Juli bana, ungesoma sana kuhusu LOGIC ungeelewa udahaifu wa hoja uliyoleta
 
Kijana kujutumiwa kama dekio ndani ya ccm unajiona ndio kugundua fursa na kupewa nafasi,chama kilichopasuka makundi makundi ni vigumu sana kwa kijana mwenye kujitambua kujisifu kuwa yumo ndani ya chama hicho na kuwashangaa walio nje ya chama makundi.Hivi leo kila mwenye akili timamu anatambua bayana kuwa hakuna kitu kinachoitwa ccm tena kuanzia kwenye maadili,utetezi wa wanyonge mpaka kwenye sera.Chama kilichoitwa cha wakulima na wafanyakazi leo viongozi wamekuwa watu wa kukiri hadharani matumizi ya rushwa ndani ya chama ili kupata uongozi halafu kijana unajiona mjanja kuwa ndani ya chama hicho!!.Mfyuuuuuuu

Wewe Juliana Shonza na mwenzako Mtela mnajijua na pengine mnajuta ndani ya mioyo yenu kusaliti CHADEMA hasa mkiona jinsi Chama mlichokisaliti kinavyofanikiwa kuunganisha vyama vingine chini ya UKAWA na sasa umoja wao unagawa dozi inayowaacha ccm hoi dhofu lihali mpaka mnapoteana kila mtu anabwatuka kivyake ndani ya chama,kila mmoja anamuhofu mwenzake.

Hebu tueleze ukweli toka uvunguni mwa nafsi yako wewe uko kundi la nani? Je,uko na Lowassa, Membe, Ngeleja, Pinda, Kigwangala,Wassira,Nchemba au kundi lipi? Mpaka sasa ndani ya chama magamba hakuna mwenye ubavu wa kukirudisha chama kuwa kimoja tena,mwenyekiti wenu alisuswa 2010 akapiga kampeni na familia yake unategemea leo atajihusisha kikamilifu?

Porojo pigeni sana ila ukweli unabaki kuwa mmepotea njia na hakuna namna zaidi ya kujirudi,kukiri mlidanganywa na muombe radhi toka mioyoni mwenu muwe sehemu salama vinginevyo subirini aibu ya mchana kweupe nyie walamba nyayo mkiungana mkono na akina Nape na Makonda.
 

Mkuu usihofu, nakuhakikishia watatawala wake zao na mahawara zao, sio sisi watanzania wa leo!! Huyo Juliana unaebishana nae ni hawara wa vigogo wa CCM tu. Na alichoandika ni ili ajululikane yupo active chamani!! Wameona strategy ya Makonda, sasa kila mmoja wao anaamua kupaka matope, maana ni strategy yenye manufaa!
 
Ben, nadhani huna haja ya kusumbuka na huyu kwa sababu unajua unachofanya. Kilichoandikwa hapa ni udhihirisho tosha wa vijana walioko CCM. Kwamba mtaji wa kisiasa ni kugombanisha watu na rushwa.
Maandishi kama haya yanataka kutuambia kuwa hata loan board inaangalia itikadi za chama. Kwa maandishi haya unataka kutuaminisha kuwa CCM iko nyumba ya kupigwa na kushitakiwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu wanaouliza suala la mikopo ya elimu ya juu. Kwamba kuna rushwa inayotumika katika kutoa mikopo kwa ajili ya elimu ya juu ambapo wale ambao hawako CCM hawapati.
Nadhani kama kuna chama ambacho kimejitahidi kutoa elimu ya uongozi kwa ajili ya vijana ni CHADEMA. Wiki iliyopita tu kulikuwa na semina ya viongozi wa serekali za mtaa wa kanda ya kaskazini katika jiji la Arusha. Kwa hiyo suala la kuwahadaa vijana eti wasihudhurie mikutano ya CHADEMA kwa sababu hawatalipwa kuhudhuria, ni kujisumbua kwa sababu watahudhuria kwa wingi sana. Kwa hiyo kwa maneno mengine wahudhurie mikutano ya CCM kwa sababu watalipwa, ama? Hivi kuhudhuria mkutano mmoja wa CCM ni bei gani? After all, serekali ya CCM haijatengeneza miundombinu ya kuwapatia ajira, hawanakazi na hivyo watahudhuria kwa wingi sana. Mkutano wa jana kule Tabora unadhihirisha mwamko wa kisiasa miongoni mwa vijana.
 
yap huyo ndo mwenyewe singasinga ndani uzi wa kijani sasa uvccm watakosaje kunufaika wakina juliana shonza

Nikweli kiongozi huyu shonza analeta ngonjera hapa jamvini,lakini si mbaya kwani ameona kasahaulika hata huko alikokimbilia washamtupa.
 
Chadema ina support kubwa ya vijana ambao hawapigi kura anyway, soo watasubiri sana.
 

safi nimeipenda
 
Shonza ana haki kabisa yakusema vijana wa Chadema wana uwezo Mdogo, ni kwasababu walitunza heshima ya huyu binti kwa kutomtumia kinyume na maumbile tofaut na alivyotarajia. Sasa huko naona milango iko wazi kabisa mbele na nyuma.
 
Na hiki ndicho kiingereza cha mtu mwenye elimu kubwa sana
I didn't find him, he finds me.
Hahahaaaaaaaaaa
 
Andika andika dada ili hao CCM wasikushahuau kabisa existence yako!! maana zile kete ulioingiaga nazo huko zimesha -expire!!
 

very arrogant comment.. ukiwa kiongozi ten msumi uwe na akiba ya maneno... jifunze kutoka kwa yaliyompata Proffesor Anna Tibaijuka na Proffesor Sospeter Muhongo... ni aibuuu kwa viongozi wasomi kuwaa arrogant!!!! Aiibuuuuuuuuuu hata weweweeeeee??!!!!!!?????
 
Sio vijana wa chadema tu,sema vijana wengi wa sasa uwezo wao ni mdogo wa kutafakari na kuchambua mambo.

Wamejawa na jazba,matusi,kauli mbaya,kujisifu,angalia comments za vijana humu utaelewa nasema kitu gani. Nadhani ni ugumu wa maisha tu unasababisha hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…