Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Hawa ni miongoni mwa vinara radio clouds kweli kuna radio hapo?? Hebu mnaosikiliza hii radio mniconvice mie pia maana nina mashaka na ujuzi wao kwenye fani ya habari na utangazaji...
From left to right Arnold kayanda, Dina Marios, Shadeiya, Fatty, Zamaradi Mketema, Rommy Jones
jamani jamani mfunyukuzi...mbona wapo poa tu tatizo hapo liko wapi?

kumbe NN ulianza kuitetea clouds mwaka 2011? kulikoni? uliopoa kamojawapo humo kweny hizo picha?Wote choka mbaya sana. Halafu mbona wamekonda konda hivyo...wanalipwa kiasi gani hapo mawingu?