Vijana wa Dar ndio wameharibu tasnia ya ndoa

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Vinalalamba lips kujipendekeza kwa warembo, vinapenda sana kupitiliza maana viko desperate na mapenzi na mwanamke akikuona uko desperate na yeye anaamua kuishi na wewe vile anavyotaka.

Hii hupelekea kuwauguza tabia hii vibinti vinavyotoka mikoani magungure. Vikienda huko daslamu na vikiona mwanaume anavyopelekeshwa kimapenzi hadi anaandika mashairi ya mapenzi, vinakuwa contaminated vikirudi huku vinaanza kuwatesa wakina masumbuko. Masumbuko anashikwa hasira anapiga mtoto wa watu, kesho mnaona star tv habari ya mwanaume akamatwa kwa kosa la kumkata vidore mke wake.

Visichana vya dar tamaa mbele mbele. Kwenye mitandao vinajipost kuandika "rich and independent" huku vikiwa uchi uchi ( kumbe kahongwa tangu anaamiaka 16 had sasa ana 30 ameshika sana pesa). Sasa vibinti vya huko koromije vikiona hivyo basi havitaki maisha ya kubanwa banwa na ndoa, anataka awe free.
 
Hapo kwenye vinakuwa Contaminated 😅😅😅😅😅😅😅ila wewe
 
😅😅😅
 
Shida ni malezi..

Mtoto toka anakua anachojua ni kusoma tu, akirudi ni homework na kuangalia katuni then kulala.

Kazi za home hawagusi, maana si kuna dada wa kazi?

Wanapokua na miji yao wanashindwa kuihandle.

Enzi zetu wakati tunakua na kusoma, still ilikuwa ukirudi home lazima kuna vi activity vinakusubiri.

Kama si kulima, basi ni kuchunga mifugo, kwa wadada kama si kupika basi ni kuchota maji kisimani, ambacho kiko kilometa kadhaa.

Hii ilitufunza maisha from the start kwamba "LIFE IS ALL ABOUT & FULL OF RESPONSIBILITIES".

Na tumekua tukiwa tunajua kupanga ratiba zetu mambo yaende on time.

Ule mjadala wa shule za Gavoo vs EMs una maana kubwa sana katika maisha ya baadaye ya watoto, sema kwa kuwa watu wanaleta ushabiki, basi watakuja kushtuka ikiwa too late..
 
Back
Top Bottom