Vijana wa Gen Z wazingira Kanisa alimosali Rais Ruto na kulazimisha atoke nje waongee naye, Polisi wawadhibiti!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hawa Watoto wa Gen Z ni hatari kwa kweli yaani hawaogopi kabisa polisi

Wamezingira Kanisa huku Rais Ruto akiwa humo ndani anaabudu

Inatisha sana, kibongobongo tungesema hawa Watoto wetu Wana mapepo

Credit: Hilda Newton Ukurasani X
 
Yamebarikiwa matumbo yaliyowazaa hao vijana majasiri. Yamelaaniwa matumbo yaliyozaa machawa wote hapa Tanganyika.
 
Hawa Watoto wa Gen Z ni hatari kwa kweli yaani hawaogopi kabisa polisi

Wamezingira Kanisa huku Rais Ruto akiwa humo ndani anaabudu

Inatisha sana, kibongobongo tungesema hawa Watoto wetu Wana mapepo

Credit: Hilda Newton Ukurasani X
Wamegundua kuwa hata Rais naye ni binadamu kama wao ila kawazidi tu cheo, umri, fedha na labda shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…